KAKA MICHUZI NILKUWA NAKUTUMIA HII HABAR YA TAIFA STARS MPAKA SASA KIPINDI CHA KWANZA INAONGOZA KWA BAO 4-1 NA MAGOLI YALIYOFUNGWA NA SHADRACK NSAJIGWA DAKIKA YA (12),NIZAR KHALFAN DK (19) NA JERSON TEGETE (30,34)KWA BAO LA MAURITIUS NI WESLEY MARQUETTE DK (13)YA KWA MUJIBU YA WEBSITE YA FIFA.COM
-------------------
asante sana mdau. sijalala na wala sio saumu, niko safarini kidoooooggggggoo. nadhani wadau wakibofya hiyo saiti ya fifa watapata matokeo ya mwisho. hapa inanibidi nizime kila kitu mpaka baadae.kunardhi wadau, libeneke litarudi baada ya kufika sehemu sehemu baadaye
Michuzi


na wenye wivu wajinyonge. tukiwa na subira na huyo kocha tutacheza world cup kabla hatujafa.
ReplyDelete