wadau wenye kuwajua majina tusaidieni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kulia kabisa waliochuchumaa ni Raha Msigala alikua simba.Sasa hivi ana kitambi cha kufa mtu

    ReplyDelete
  2. kulia kabisa waliochuchumaa ni Raha Msigala alikua simba.Sasa hivi ana kitambi cha kufa mtu

    ReplyDelete
  3. Chini wa pili kushoto SAIDI GEORGE (BEST) ama vipi? (dRU)

    ReplyDelete
  4. mstari wa kati jamaa waiti mwenye afro ni Ahmed Amasha

    ReplyDelete
  5. Waliosimama wa pili kutoka kulia ni Zamoyoni Mogella(golden boy) na anayemfuatia ni Marehemu Albert Rweyemamu(betto)alichezea Simba miaka ya 80 na nitaendelea kuwaletea majina zaidi....

    ReplyDelete
  6. Ale chchumaa hapo chini kushoto ni Sospeter Mwaluko alikuwa Maji Dodoma akaenda Simba. Wadau Mpo?

    ReplyDelete
  7. Napenda kusahihisha jamaa alimtaja huyo mwenye afro kuwa ni Ahmed Amasha la huyo ni nduguye anaitwa Abdul Amasha ezi zake kama captain wa Yanga B na Super Star wakazi wa muhimbili wanakumbuka hilo

    ReplyDelete
  8. heeee mbona mwatutia kizungu zungu??tulieni kwanza then mtupostie awa mashujaa wetu wa enzi izo ambao haitawai tokea kuwapata Tz,,,wachezaji wooote now ni chekechea mayai saaana
    kazi starehe,,na kocha anayekula km sikosei kodi wa wavuja jasho!!!ivi kikwete anatoa wapi mapato kuwalipa ao makocha wa nje??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...