hizi ni baadhi ya picha ambazo zinapatikana kwa supa staa wa filamu bongo kanumba ambaye amekamirisha tovuti yake na anakaribisha kila mdau amtembelee kuptia www.kanumba.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Unajua nini kanumba!mtu anakufanyia make up anakunanga sana yani unakuwa kama maiti kwa mfano tu angali hiyo picha ya kwanza yani utafikiri umetoroka mochwari.Nakushauri mtumie mtu anayempamba Ray yani Ray huchoki kumtazama kwa sababu hapakwi hayo mapodari mengi kama wanavyokufanya wewe.Naamini ukirekebisha hilo utavutia katika movie zako nyingi.Ukitaka kuamini nikwambialo angalia movie zako nyingi ulizocheza pamoja na cover zake then chukua na Ray na cover zake naamini utaona tofauti.Haya jitahidini kuendeleza sanaa ya Bongo.

    ReplyDelete
  2. Nimepitia website yake mbona nilichokisema ndicho walichomfanyia?podari......podari.....Katika movie ya kijijini ambayo amecheza sijui ni kama mchungaji yani huwezi amini amekandwa podari utafikiria sijui kitu gani!kwani huyo mtu wa costume anafanya kitu gani?Kanumba ur paying lakini sioni ile huduma inayotakiwa.Hizo picha nyingine usiseme hicho kinyago?Badilika Kanumba unavuka mipaka na mambo yako ni lazima yaende na jina lako pamoja na sifa yako.Jaribu kutembelea katika web za wanaigeria akina Ritha Dominic,Desmond Eliot na wengine yani utafikiria ni rangi zao ambazo wamezaliwa nazo kumbe wamefanyiwa make up.Mmmh haya enjoy najua wapo mtakaosema lakini Kanumba fanyia kazi niliyokwambia utakuwa bora usisubiri kusifiwa kila siku hutajifunza.

    ReplyDelete
  3. Hapo kwenye <>Biography<>... Naona "I" zimekuwa nyingi mno mpaka zinakera...!

    ReplyDelete
  4. Kaka Michu!!
    Ninampa hongera huyu bwana kwa kujituma mpaka kufikia alipo. Nimetembelea url yake. Nina kaushauri kidogo, kwamba angetumia kiswahili nina hakika angejieleza vizuri na kwa upana zaidi kuliko kutumia "kiinglish" ambacho kimemfanya aandike mambo mengi ambayo yatamletea taabu na hasa kutoka kwa Mwalimu wake wa kiinglish.. ona mfano huu kwenye web yake "
    I'm just complited to shoot a movie called BAD INTENTION with Richard(A winner of Big Brother Africa 2) and Wema Sepetu(Miss Tanzania 2006/07.)"

    Hatari hii (dRU)

    ReplyDelete
  5. Si kwamba nimeshikia bango ila kila ninaposoma nakumbana na kiiglishi kigumu kuelewa - Haya jingine hilo

    "Now very soon i'm gonna start to shoot a new movie called WHITE MARIA"
    (dRU)

    ReplyDelete
  6. Kaka Michu mie bado ninaye Kanumba!! Huyu Bwana hana uwoga wa kutumia lugha za watu kiharamia enh!! Ona kombora jingine hili
    Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba. (I was given birth on january 8th 1984)

    (dRU)

    ReplyDelete
  7. Big up Kanumba. Nimesoma maelezo yako, ulichokiandika kinaeleweka, tatio kubwa lipo kwenye gramma. Na hapa lazima nikubali kwamba hilo sio tatizo lako tu, ni tatizo la wengi hasa sisi watanzania. Kumbuka english is our second language.... so what do expect?? Wazo langu kwako ni hili, peleka maelezo yako yote kwa mtaalam wa lugha ya kiingereza ili afanye editing, ili yale yote uliyoyaandika yawe kwenye mtiririko mzuri na grammatically correct. Otherwise mtu anapokukosoa kuna mawili, aidha ni wivu au anakupenda!!!!!
    Pia usijipambe mno... that is too much!!!!!

    ReplyDelete
  8. Kanumba nakujua toka ukiwa mdogo mwaka 1984, wewe ulikuwa unacheza na mdogo wangu ambaye alikuwa na miaka mitano na mlikuwa sawa. Weka umri wako bayana umezaliwa kati ya 1979 na 1980. Tuache uongo!!!

    ReplyDelete
  9. Bandwidth Limit Exceeded.....The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later. usinunue host ndogo kama unataka kupost kitu yako kwa michuzi

    ReplyDelete
  10. Mimi nafanyia kazi UN hapa bongo na hapa tuna wazungu hasa kutoka ulaya mashariki, ufaransa na pia kuna west africans from Francophone countries wanaongea worst English na hakuna mtu anayegive a damn tunachojali ni perfomance yako ktk kazi, thus kanumba mimi nakupa big up kwa sana what is English bwana??? unachotakiwa ni kupiga kazi na utengeneze mshiko na maisha.. thats that ya'll poor haters

    ReplyDelete
  11. SASA NDIO UMEKASIRIKA? MBONA NAFUNGUA Leo site yako naona haya:-

    Bandwidth Limit Exceeded
    The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
    Apache/2.2.9 (Unix) mod_ssl/2.2.9 OpenSSL/0.9.7a DAV/2 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 PHP/5.2.6 Server at kanumba.com Port 80

    ReplyDelete
  12. wajameni li website mbona halikubali hili.... have tried all day long, any clues on how 2 get ther?
    dada lao

    ReplyDelete
  13. Nina wasiwasi sana na hawa wanosema Kanumba kitu kimoja mara 4 na kumfananisha na watu wengine. inanifanya nihisi wametumwa na wapinzani wa Kanumba au wao wenyewe ndio hao wapinzani. kama unamkosoa mtu fanya hivyo basi maramoja na message yako itakuwa imefika, kurudiarudia inaonyesha chuki ya waziwazi.

    ReplyDelete
  14. Anonymous mfanyakazi wa UN nina mashaka nawe maana unashindwa kutofautisha lugha ya kuongea na kuandika. Hao ambao wanongea kiinglish unachodai wewe ni kibovu umeona wanavyoandika?!!! Maana kama wataandika repoti ambayo itakuwa na makosa "gramatically" basi UN imeingiliwa na akina KIHIYO!!! itakuwa balaa kweli kweli. Nina hakika moja ya sifa za kazi za UN na hasa kiutaalamu huhitaji watu ambao wanaongea na kuandika lugha fulani kwa ufasaha!! hebu rudia sifa za kazi hapo UN!!! Hakuna mtu ambaye anamsema vibaya Kanumba lah!! ila wanataka kumsaidia pale ambapo ana mapungufu na siyo tuu BIGUP!!! huo utakuwa unafiki mwana wa UNU!!! ..... Hongera kwa Kanumba na ni vyema kukubali kwamba kazi yake imetoa mchango wa aina fulani kwenye jamii na hata kwake, lakini panapo kasoro ni vyema patajwe.. tunasema hivi katika kiswahili "Ada ya mja kunena, Muungwana Vitendo" ... (dRU)

    ReplyDelete
  15. kaka kidhungu, hata kama ni second language, hiki chako balaa, kaka wote twajua kiswahili ndo lugh yetu, tumia kiswahili, hii kulazimisha kiinglish unajivua nguo, manake hiki cha kwako na unachotumia kwenye movie hadi mtu aelewe ni balaa.
    Pia kama unacheza movie za mapenzi tyr to be romantic sio mgumu kama gimbi kaka...movie za mapenzi na kila mahali pakavu haiendi.,.hapo hata lugh haihusiki ni mwili na maneno yako sio kiingereza tena, u -mkavu saaaana.

    ReplyDelete
  16. kaka tafuta host wa maana. Huyu wa sasa mbabaishaji; site yako toka jana iko down. Inaonekana host wako anapata huduma toka TTCL sijui,... limited bandwidth

    ReplyDelete
  17. hahha ha hahaaaaa,,
    jamani watu mna hila za kwapa??

    ReplyDelete
  18. Bandwidth Limit Exceeded
    The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.
    --------------------------------------------------------------------------------

    Apache/2.2.9 (Unix) mod_ssl/2.2.9 OpenSSL/0.9.7a DAV/2 mod_auth_passthrough/2.1 mod_bwlimited/1.4 FrontPage/5.0.2.2635 PHP/5.2.6 Server at www.kanumba.com Port 80

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...