masta zembwela akiongoza kikosi cha twanga katika staili yaop mpya ya kungu fu wakati wa bonanza la michezo na burudani la kila jumapili viwanja vya leaders kinondoni
pamoja na kucheza staili hiyo pia ina mambo ya kujihami kwa kutumia mikono mitupu
tizi na dansi
twanga pepeta kung fu flex
huu haaaa! anarusha vitu aisha madinda

kaka michuzi naomba kukwambia kwamba katika BAND za DANCE za hapa BONGO ambazo hazina MIXER za WAKONGO, TWANGA ya dada ASHA inaongoza kwa Ubunifu sana pamoja na MSONDO, mi sishangai kuona wamekuja na staili hiyo na hutaikuta kwa wanamuziki wengine hata Kongo lkn ukisikiliza hao wengine ambao kuna wakongo utasikia rapa ishaimbwa na Olomide au wengine. TWANGA IPO JUU!!
ReplyDeleteHongereni kwa Ubunifu,
Napenda Kutoa Hoja mheshimiwa MICHUZI.
Aisha MAdinda kanenepa sanaaa...inakuwaje Mithupu?? si nilisika u mgonjwa
ReplyDeletekubwa hilo....
ReplyDeleteweee Anonymous wa pili inakuhusus nini? maisha ya Aisha Madinda??? hunakazi ubongo wako umejaa nzi
ReplyDeleteKamata transfoma ikurushe, ujui zinanenepesha shenzi taipu siku ingine usiulize ujinga wako humu
ReplyDeleteYaani Aisha amenenepa hadi miguu imevimba anavaa kila siku travota
ReplyDeleteKaka Mkuu wa wilaya ya nanihiii, naomba kuuliza ikiwa ukumbi umejaa na hii style ikitumika nani atapona. Pia ni hatari kwa wale wachezaji wa mchezo huo ambao maadili yake yamewakaa kushoto huenda wakapata nafasi ya kuwachapa watu walioingia katika anga zao bila ruhusa na kudai walikuwa wanacheza muziki wa mtindo huo.Jamani fikrieni madhara yake.
ReplyDelete