mtangazji maarufu wa times fm didah 'G' (shoto) akiwa na mpambe wake kwenye chiken pati yake usiku kuamkia leo ukumbi wa vijana social hall
baadhi ya wageni kwenye hafla hiyo iliyofana vilivyo
meza kuu ya wazazi
wageni wakirusha roho
mc zipompapompa alisherehesha



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Maelezo ya picha ya kwanza, mchemsho umetumika. nakwoti
    "mtangazji maarufu wa times fm didah wa mchopps (shoto) akiwa na mpambe wake kwenye chiken pati yake usiku kuamkia leo ukumbi wa vijana social hall"

    hiyo chiken pati mzee haija2lia, weka kicheni pati.

    Mdau Njaps

    ReplyDelete
  2. anony michu hajakosea pengine wewe ndio mgeni humu jamvini kwa wadau wa kawa hio luga inaeleweka!!!!

    ReplyDelete
  3. Huyo Didah mbona tulisikia alishaolewa au alikuwa anaishi tu na huyo bwana then wameamua kufunga ndoa baada ya kuona mwezi mtukufu karibu? au aliachika mwanzo then ameolewa tena. Manake .......

    ReplyDelete
  4. WE APO JUU EMBU ACHA UMBEA UMESIKIA UMESIKIA UMESIKIA WAPI?

    NDO UNAFIKI HUO TUSIOUTAKA NA MABLOG YENU YA KISHENZI KURUDISHA WATU NYUMA TU LOH!

    ReplyDelete
  5. Weee!! Shika adbu yako anonym. wa 3.12 pm. Unasema "MABLOG YA KISHENZI"??? Afu waonekana mshari, naweza kisia tu, wewe ni mmbea na mzaliwa wa Mwananyamala ka sio kwa kopa basi Komakoma. Kuwa na haya mtoto wewe!! Tena mtoto wa kike shurtwi uwe na adabu hata ya kujibu watu. Tena siku nyingine nikikusikia wasema Mablog ya kishenzi nitakuibukia huko bongo, @*&%$£#+mbafff!!!
    Kwa taarifa yako, wengi tuklio ughaibuni twapata habari za huko nyumbani kupitia hizi hizi blog, zaidi ya redio zenu zilizojaa umbeya wa mipasho. Sasa unapoitukana blog na mimi pia ushanigusa.

    jifunze mtoto wa kike heshma. Kuwa mstaarabu wewe. Muone vile!!! Xchwiii.

    ReplyDelete
  6. Michuzi mambo haya muachie Shamim

    ReplyDelete
  7. He! ebu msituletee mambo ya uswazi hapa....kama mmezoea blog zenye matusi nendeni huko huko...sisi hapa tumetulia ustaarabu kwa kwenda mbele.....

    ReplyDelete
  8. ahahaha to "chiken pati" Misoup unanifurahisha sometimes. hivi huwa unachapia kweli au mbwembwe tuu!?,

    inaelekea vidole vyako havina mifupa, dah!.

    -BooSt3D

    ReplyDelete
  9. Tanzania imezidi Party Culture!

    ReplyDelete
  10. anony wa 3:53 PM, hujamuelewa anony wa 3:12 PM, aliposema "mablog ya kishenzi" alikuwa anarefer blog kama utammu, n.k. zenye tabia za umbea na kupakana. So ndio alikuwa anamwambia anony wa 1:24 PM kuwa umbea anaouleta ni wa mablog ya kishenzi and it does not belong hapa ktk blog ya jamii. Punguza jazba ndugu

    ReplyDelete
  11. Kwangu mimi ni kama kupigana na kivuli. Yaani ma-anon mwatukanana ilhali hata hamna uwezekano wa kujuana kirahisi.
    Hahahahahaha. Anyway ndio raha nyingine ya blog kuona vituko adimu kama hivi.

    ReplyDelete
  12. Didah, hongera sana dadangu kwa kupa mwenzi wako. Ila nataka kueleza kitu kimoja, nadhani huyo ZIMPOMPAMPOMPA kakufunda ipasavyo kwenye hiyo chiken party, lakini nami kuongezea tu ni kuwa sasa mtoto tulia, unaolewa, unahishma zako ndugu yangu, mambo ya kupigana vijembe kwenye mipasho sijui naomba upunguze ama uache kabisaa. "TULIA" na pia achana na kuwa na mashoga wa karibu kama hao wanaoambiwa sijui watoka mwananyamara gani sijui, nionavyo mimi huyo anonymous wa 3.12 PM nishoga yako wa karibu sana, watu kama hao waepuke sana, leo naona kaanza sutwa kwenye mablog, kesho sijui itakuweje kwake kama ataendelea na umbea kama alivyoambiwa na waungwana. hao mashoga dada yangu watakuponza, na vijembe kwenye vipindi vya maredio sasa acha mtoto wa kike.

    ReplyDelete
  13. Kwani kina mama wakibongo wataacha lini mikorogo? Sura ka kuku aliyerowekwa kwenye maji moto. Lol

    ReplyDelete
  14. tutawajuaje watu waliokosa malezi ndo kama hivo mitusi tele,dah!hamuoni hata haya nyie hebu acheni mambo yenu.huyo mmoja kama ni mwanamke basi hana sifa ya mke.
    anons 3:12 mwanamke aibu ahsante

    ReplyDelete
  15. Dida ni mtamgazaji maarufu wa redio anajulikana sana sasa kujua habadri zake si kosa kwa sbb yeye ni staa ndio maana twayataka yake ni kweli kabisa sisi tunajua kaolewa na kuna kipindi magazeti yalishaandika story zake sasa kipi cha ajabu kujua kama kaachwa kaolewa tena au wabariki ndoa kama wajisemavyo wakiristo??kulikoni???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...