Home
Unlabelled
ukiwa roma....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
umefanana na rais wa sudan OMAR HASSAN AL-BASHIR. kwa ghafla unaweza kutinga ikulu na mabodigadi wasijue kama wewe ni michu.
ReplyDeletesafi sana hilo vazi linaweza kuchukuwa nafasi ya fulanazzz!!!
Duh, blogu imevamiwa na singasinga
ReplyDeleteHAHAHA TEHE TEHE TEHE HAPO NDIPO MKUU WA BWAWA LA MITHUPU UNAPOWAPIGA BAO MABLOGA WOTE WA KIBONGO, KWA UBUNIFU NA GREAT SENSE OF HUMOUR, NA SIO KU-KOPI NA KUPESTI KAMA KINA HAKI NA WENZIE. YAANI UKIINGIA BLOGU HI MTU HUBOREKI. LICHA YA KUWA UP-TO-DATE KWA KILA JAMBO LINALOHUSU BONGO AMA WABONGO, PIA HUKOSI KUCHEKA AMA HATA KUNUNA. AMA KWELI HII NI GLOBU YA JAMII. YAANI NIMECHEKA ILE MBAYA. WAPE SOMO BLOGA WENGINE WAWE WABUNIFU KAMA WEWE, NA SIO KUISHIA KUCHOTA PICHA NA HABARI ZA WENZAO NA KULAZIMISHIA UMAARUFU.
ReplyDeleteBIG UP KAKA MKUU WA MKOA WA NANIHII. UNAKUBALIKA DUNIA NZIMA. WENYE WIVU NA WANYWE SUMU WAJIUE. LAKINI MICHUZI HUKO JUU. USIBANIE BASI NA HII WE KAKA MITHUPUZZZZZ
HALAFU TURUFU YANGU NAIPELEKA KWENYE FULANAZZZZ HAYO MAKANZU NA MALEMBA WAACHIE JANJAWIDI HUKO HUKO. SIE TUREJESHEE FULANA YETU YA NGEKEWAZZZZZZZ....
- MDAU LEICESTER
bongo kuna mabloga wangapi? wengine michemsho tu wanaanza na kujifia kifo cha mende na ule umoja wao uliishia wapi?mkuu wa wilaya fulanaz ndio safi
ReplyDeleteDuh bora ya fulana...kuna mahali pa kupiga kura...Mh hizo nzuri na inakupendeza sana lakini vaa kwa wakati wako...tetettetetetethhhhhh
ReplyDeleteBISMILLAHI MASHAALLAH! I seee! umapembedhaaa! Rudi upesi, usije ukapewa mke huko! hicho kifulanaaz kiwache huko huko, wape janjaweed wapigie deki! (samahani kwa hilo)Lkn kifulanaaz kinakutoaga chicha hao wanaolalama wanakuoneaga geeeleeee tu!
ReplyDeleteUmetoka kama JANJAWEED!
ReplyDeletemkuu wa wilaya ya tegea hapo nimekukubali sina comment bigup nategemea hutoziacha sudan hasa ukizingatia huu ni mwezi mtukufu sasa siku mojamoja inabidi ichukue nafasi ya fulanz
ReplyDeletemkuu wa tegeta leo ulivotinga na hizo pamba umenikumbusha profesa mustafa roshash wa zanzibar university
ReplyDeletehongera
hahhaah Sheikh yani hapo ukienda kuinunuwa timu ya liverpool wanakukubali kabisa mwarabu mweusi itabidi uinunue pan african Sheikh issa bin michuzi.
ReplyDeleteWe iga tu ila nakuomba usije enda Darfur. Huyo huyo Bashir mliyemtembelea atatuma vijana wake wakuue kisa wewe si mwarab ni mbantu. Japo ni muislam lakini wao hawajuwi hiyo. Tafadhali usiende Darfur tunaipenda hii blogu yetu Michu! Mi namshangaa Kikwete, hivi ana akili kweli yule kum-support Bashir? Au alisema vile kwa sababu alikuwa anaogopa kuuwawa na wa Sudan?
ReplyDeleteNdio maana yake ukiwa Roma.... safi sana. Creativity...yaani nimecheka mno,we kweli mwisho
ReplyDeleteLondoner
Vazi hilo huko Darfur na Nuba Mountain kwa kiasi kikubwa ni halama ya ukatili wa Janjawid, pia halama ya ubaguzi, maana wenye ngozi (weusi) kama Issa Michuzi na Mama Salma, basi ubaguliwa, na Janjawid, Ujinga wa Janjawid ujiona Waarabu, na hivyo kwao ngozi nyeusi ni mtu wa kufanya mtumwa. Waachie Kazu lao hilo la wabakaji wa Darfur na Nuba Mountains
ReplyDeleteMkuu wa Nanihii mi napigia kura fulanazz bwana. Imekupa rajamu (trademark) yako ya kipekee. Na imekuwa chanzo cha mijadala na stori nyingi humu jamvini, hivyo ukikitosa uhondo utapungua. Mi kwakweli fulanazz nimeikubali mno toka siku nyingi, japo wengine huwa wanaiponda.
ReplyDeleteHILI HALINA TATIZO KWANI KUIGA NDIYO JADI YETU.
ReplyDeletealooo umependeza uiweke mpaka bakwata wakiamua kutangaza mwezi wao wa fitr ukasalie idd
ReplyDeleteumependeza sana mkuu.
KWA KWELI FULANAZZZ IMEKULA NAFASI YAKE KANDAMIZA NGWANA WANEE KWELI KANZU NA KILEMBA KIMEPENDEZA SANA, WALA HAINA MAANA YA UKATILI MICHU KWA HAPO KHARTOUM VAZI HILO UKIONA MTU KALIVAA NI WALE WATU AMBAO WAKO MATAWI YA JUU SANA VUMBI LA KHARTOUM MICHU NATUMAINI UMELIONA NA UKITIZAMA WAARABU AU WEUSI WANAOVAA HIVYO WAKO KWENYE MAGARI FULL KIYOYOZI, PIA VITA VYA SUDAN WADAU SIO UBAGUZI WA RANGI VITA VYA SUDAN NI MAFUTA JAMANI AMBAYO YANACHIMBWA SOUTH FAIDA KUBWA INALIWA NORTH WATU WA SOUTH NI BLACK NORTH NI WAARABU SI VITA YA UBAGUZI WA RANGI KWANI KWA WALE WANAOIJUA SUDAN WAZIRI WAO WA HELA NI MWEUSI KAMA MPINGO NA MLINZI WAKE NI MWARABU,WADAU MSILALAMIKE SANA KUHUSU HUKO DARFUR NA RAIS YUKO KIKAZI KAMA KAZI ZINGINE DARFUR MICHUZI NENDENI WALA HAMTAFANYIWA CHOCHOTE MIMI NILIFANYA KAZI HAPO DARFUR KWA MWAKA NA MIEZI 6 NA PIA AFGHANSTAN MWAKA MMOJA WABONGO UWOGA WETU NDIO UMASIKINI WETU HATUWEZI KUJIFUNZA BILA KUTAKE RISK, ILA KAKA MICHUZI UKIPATA MUDA UKAPIGE NA PICHA ZILE SEHEMU ZA MATAWI YA CHINI NAONA UNATUPELEKEA PICHA ZA MATAWI JUU WATU WASIOIJUA SUDANA WANAWEZA KUFIKIRI SUDANA NI BARABARA NZURI NA MAGOROFA MAZURI, CHUKUA PAJAJ UKATEMBEE KIDOGO KWENYE SLAMS.
ReplyDeleteBALTAZAR
KIPEPEO TOURS
Kaka unajifanya Mustafa Hassanali? Wee ngoja wakujanjaweed huko. Rudi upesi na kifulana chetu. Siku ya Eid tutapitisha bakuli la mchango wa kununua fulanaz mpya. Ila umetoka! ka vile unaenda kutoa mahari! Kwi kwi kwi
ReplyDeleteNo NO BIG NO!! FULANAZ iendelee!! Hiyo umekuwa kama Janjawed kabisaaaaaaaaaa. Halafu wengi wanaovaa hivyo wapo ovyo tu ukienda aiport ya Ethiopia wapo kibao (on transit) WANATISHA!!
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya nanilii, vazi hilo limekutoa chicha. Linafaa kuvaliwa mara chache ili ze fulanazzz isichakae
ReplyDeleteSIKUSHAURI UNATISHA UTAFANYA HATA WATOTO WASITUMIE PICHA HUKU ZA EPI BETHIDAI ZAO!!
ReplyDeleteHilo ni vazi la wakatili hata waosha vinywa mseme vipi ukweli ndo huo
kaka michu bwana aaa weunatak akubadilisha ID yako tena kila mtu anakuju ana fulanaz sasa hilo tena . liweke hapi ze fulana ichanike hata hivyo nimeshakuwekea order ya fulanaz kama zile 50 sasa hata zitoboke vipi utaendelea kuwa nazo tu .
ReplyDeletenumber one fan
He! Makubwa!
ReplyDeletekwanza nikafikiri umeleta habari ya waziri mkuu wa Sudani kwani Raisi wake yu hapo juu,Kaka usirudi kabla hujatafuta nduguzo huko. yani we ni msudani yakhe!Umeng'ara!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteCHONDE CHONDE - ANGALIA ILE HATI YA Mwendeshaji Mashitaka Mkuu wa ICC, Luis Moreno-Ocampo BADO HAIJAFUTWA/KUAHIRISHWA MAKACHERO WA ICC WASIJE WAKADHANI MLENGWA NI WEWE MAANA MMESHABIHIANA KINOMA - FULANAZZZZ JUU KWA JUUUUUU
ReplyDeleteTobaaaaa!!! Michu umijitoa kafara weye!!! Watakuacha hawa jamaa wasio jua mipaka ya vita!!!? Duuh!! inabidi tujipange kukulinda ama lah!! tumikupoteza!!! (dRU)
ReplyDeleteDADA TVZ KICARTOON,
ReplyDeleteYaani hayo maneno ulivyomsifia michu kama nakuona, naomba tuwasiliane, unaoneka ni mrembo kweli.
MICHU, hivi mbona hujatuonyesha picha za mtukufu JK na El-Bashir wakifuturu? au jamaaa alimbania futari JK au wewe hukualikwa?
Mdau
Kwa Bi Mkubwa Malkia
Kaka Misupu.Hilo vazi ni safi sana kwa kulivaa. lakini mbona umelivalia chumbani tu.Hebu toka nalo nje ,achana na hako kaflana kakohata kama ulikabidhiwa na waliokutangulia.
ReplyDeleteHiyo imekaa njema.Ridhilishe kwa watuy na sio kujificha
SIJAKUONA NA VAZI LAKIMASAI NA KUTWA UPO ARUSHA,KUU VIPI TENA TUACHIE KIFULANA KIEENDELEE AU KIMETOBOKA KWAPANI(JOKES) THE FULANAZZZ NDIO MZUKA
ReplyDeleteMcZobizobi acha! acha!
ReplyDelete..sasa dah iyo kweli utaweza ku-keep up na dry-cleaners bongo kaka!?
mi na prefer Fulanazzz..
Buffalo,
New York
Maalim, labda ukivaa hili utakuwa na moyo wa huruma, utakuwa na hekima, akili, shauri, elimu, nguvu na uchaji wa Mungu ... na uwe unaweka posts zetu zenye maana na manufaa kwa taifa.
ReplyDeleteMichuzi 'mwarabu' safi kama wewe hawezi kuogopa kutoa posts zinazojenga taifa bwana. Mbona uko 'ki-mzalendozalendo' na 'ki-mfanyakazimfanyakazi' na sio 'ki-tsn?' Badilika kimawazo, acha woga! Kuwa kama Nape bwana. Acha kufungia posts zetu na comments "duniani hata mbinguni." Badilika kifikra bwana mzee. Au tuwe tunatoa za kushangilia hotuba? Ebo!
Hehehe hata mie ambaye sijawahi kuandika kitu kwenye blog hii imenibidi niandike.kweli mkuu wa nanihii umependeza honger sana, lakini kafulana usikaache huko
ReplyDeleteMichuzi sasa naelewa kwa nini hutuletei maovu ya JK au hata tukiyaandika unayapiga bao.wewe ni mmoja wao.
ReplyDeleteKAKA UMEPENDEZA UMEKOSA MUZUZU TU NA SIJUI KAMA NDANI UMEVAA MSHIPI? BASI MWENYEZI MUNGU AKUPE BARAKA KIPINDI CHA TOBA KAKA
ReplyDeleteAAAhh… unaonekana tu we JANJAWEED? Bora uvue haraka…..
ReplyDeleteTO ALL NALITOLELAS
ReplyDeleteHata mimi ni Peter nalitolela nimemaliza mzumbe chuo kikuu last year tulikuwa na migomo ya kila mara lakini inshaalah tumemaliza. Hee michuzi kumbe kina Peter Nalitolela tupo wengi naona na mimi ninaishi Mbagala basi nimepata muda wa kuwasalimia kina Nalitolela wenzangu H.School nimemalizia St. Antony Mbagala najua watu wengi mtanikumbuka ingawa hatufahamiani lakini naomba wote nyie kina Nalitolela humu kwenye blogu tukutane inawezekana baba yetu ni muhuni kawachalaza mama zetu halafu katupa majina yanafanana mbaya zaidi katuweka katika mazingira ya kusoma Chuo kikuu kimoja Mzumbe sasa sijui ni uchawi ama ni nini? Mbona tunaanzakujuana leo na tumemalizia chuo kimoja? Mimi naona ni Uchawi...! halafu wote tulikuwa na akiri sana darasani!