Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza vyandarua cha A-Z cha Arusha Anuj Shah (kulia) akimkaribisha msanii na mcheza filamu maarufu wa Marekani Will Smith alipotembelea kiwanda hicho juzi.Msanii huyo ni Balozi wa hisani wa kupambana na ugonjwa wa Malaria duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Will Smith hajaja Tanzania, amekuja Zanzibar eeeeeee!!!!! huyoooooooooooo.

    Unanikumbusha utoto, tulikuwa tunapigana tukiona gari imepita basi nasema gari yangu, mimi ndo nimeiOna wa kwanza, mwingine athubutu kusema naye yake si ngumi hizo hakuna mtu wa kuamua.Ndo haya ya Will Smith kaja Zanzibar hajaja Tanzania!

    ReplyDelete
  2. Ann Sept 2. 3.19a UMENIFURAHISHA SANA

    yaani huku duniani kuna watu wajinga sana sasa walibishana nini? ameenda Zanzibar au Tanganyika tatizo lipo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...