
tazama timu ya mpira hapo inayoundwa na watu kutoka afrika mashariki lakini wengi wao wakiwa watanzania, pia kuna watani wa jadi kutoka kwa kibaki (kenya) na mashemeji wa kule kwa museven (uganda) na wengine kutoka somalia. timu hiyo ya mpira imeundwa pamoja na club ya michezo ijulikanayo kama african sports network.
Mdau,
Leicester-uk.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...