Kaskazini, Rweyemamu Protace (kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa
vitabu vitabu 160 vya fizikia vyenye thamani ya shs milioni tano
kupitia mpango wake wa kuendeleza elimu wa Tigo Elimu Bora Tanzania
kwa Dada Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ilkiding'a, Grace Mosses kwa
ajili ya sekondari hiyo katika hafla iliyofanyika shuleni hapo,
Arumeru mkoani Arusha juzi. Wanaoangalia katikati ni Mkuu wa
Ilkiding'a, Omary Nyangu na Msimamizi wa Tigo Huduma kwa Wateja
wa Kanda hiyo, Lydia Sakaya.
Kaskazini, Rweyemamu Protace akizungumza na mmoja wa wanafunzi wa
Shule ya Sekondari Ilkiding'a, Devoter Gladstone katika hafla ambayo
Tigo ilikabidhi msaada wa vitabu 160 vya fizikia vyenye thamani ya shs
milioni tano kupitia mpango wake wa kuendeleza elimu wa Tigo Elimu
Bora Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo, Arumeru mkoani
Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...