palikuwa hapatoshi atlanta ali kiba alipofanya vituzzzz
balaa tupu
ilibidi walinzi wafanye kazi ya ziada kumlinda ali kiba jukwaani





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Ali kiba alifanya usanii ATL...watu wamesikitika sana kwani ni kama wameibiwa...katumia muda mwingi nje kwenye gari kunywa pombe than jukwaani...ule ni usanii na wizi wa macho macho. Next time kwakweli atawapata wakenya tu....

    ReplyDelete
  2. eneo la tukio basemento nini

    ReplyDelete
  3. Sasa inabidi aje na seattle tupate raha na sisi..........

    ReplyDelete
  4. hongera sana ndg yetu Alikiba!!!!! nalikubali libeneke lako la huko majuu, lakini mbona hurudi nyumbani au huna nauli ndo unaisaka?? tunakumiss bwana especially kipindi hiki cha fiesta inayokwenda kwa jina la jirambe. ungekuwepo jamaa nahisi tungejiramba zaidi. makamuzi mema na utuwakilishe vizuri huko mamtoni...

    ReplyDelete
  5. hongera sana ndg yetu Alikiba!!!!! nalikubali libeneke lako la huko majuu, lakini mbona hurudi nyumbani au huna nauli ndo unaisaka?? tunakumiss bwana especially kipindi hiki cha fiesta inayokwenda kwa jina la jirambe. ungekuwepo jamaa nahisi tungejiramba zaidi. makamuzi mema na utuwakilishe vizuri huko mamtoni...

    ReplyDelete
  6. HAPO NI TABORA? MBONA WAMEBANANA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUCHEZA NDANI YA HILO DARASA? IUNDWE TUME KUCHUNGUZA HILI.

    ReplyDelete
  7. Hata Dodoma hawachezi mziki kwenye ukumbi kama huu. eti mko Mmarekani, ndio maana alikiba anashindwa ku-perform muda mrefu, Joto kaka, hewa haitoshi. Nafikiri waandaji ndio wasanii, sio Ali Kiba

    ReplyDelete
  8. said hapo ni amerika lakini ujue kitu kimoja kila nchi inasehemu nzuri na mbaya kwahio hawa jamaa hapo ndo uwezo wao manake wakija bongo ndo wanaingia sehemu kali wakiwa huko wanakuwa third class kama hizi kizamani tunaita kajamba nani ukumbi kama ghala la mahindi du beer zinauzwa ktk chip plastic glass hahaha si wa beba box

    ReplyDelete
  9. sehemu ya onyesho choka mbaya...kudadadeki!!

    ReplyDelete
  10. picha ya mwisho imenifurahisha, hebu angali huyu mlinzi halafu tizama size ya huyo jamaa upara, hivyo hiyo ikitaka kuleta tifu hichi kibaunsa kitaweza kumzuia? ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  11. picha ya mwisho imenifurahisha, hebu angali huyu mlinzi halafu tizama size ya huyo jamaa upara, hivyo hiyo ikitaka kuleta tifu hichi kibaunsa kitaweza kumzuia? ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  12. Ni kweli mapromoter wanahitaji wajifunze hilo.

    Nililalamika the same thing alivyokuja NJ ilikua hivyo hivyo.

    Anakuja late halafu anaimba nyimbo chache tu anaondoka. Kwa watu tulioendesha masaa matano ili tuje tumsikilize na mda ulioandikwa ni kero kabisa. Basi mngekuwa manasema saa sita na nusu usiku ndio anaanza kuimba.

    Kweli punguzeni usalii otherwise mtawapata wakenya tu.

    ReplyDelete
  13. Oyaa Shaka tunaomba email, tuwasiliane kaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...