Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. habari ndi hiyo, ok we kp hizo picha sikuizi unatuchanganya sana! hiyo picha ni ya JK au Pinda?

    ReplyDelete
  2. wee anoun 9:37 acha ushamba inamaana humjui ambaye uso wake umekakamaa huyo ni pinda kipanya hajakuchanganya ni wewe tu

    ReplyDelete
  3. fumbua macho yako huyo ni pinda mweeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  4. kp we soo, i wish angeona ye mwenyewe maana hawa jamaa wanatuzuga tu na vikao vyao vya bunge, inabidi tuone action na sio theory.....

    goodday tanzanians

    ReplyDelete
  5. Huyo anon wa kwanza yupo sawa kipanya inabidi ajitahidi sana, sura ya jk na pinda zijulikane wazi, naona kp aangalie magwiji wengine wa katuni kama zapiro wa afrika ya kusini, dan cagyle wa amerika na gado wa kenya, huulizi huyu ni nani na hiyo ndio siri ya mafanikio ya katuni. katuni za kp siku hizi hata mawaidha yake hayajionyeshi au kuvutia sana, aidha labda biashara yake ya nguo imechanganya!KP KAZA BELT!

    ReplyDelete
  6. Hapo kipanya umechemsha Picha kidogo sura ungeifanya iwe nyembamba sehemu za shavu zingeingia ndani kidogo au ushachoka kuchora tukurisi kama gazeti la SANI? ila kazi yako nzuri sana na vijana wadogo watafata mfano kwako mungu akipenda. Kipanya watu wameweza kujuwa huyo ni Pinda sababu ya sura imekaa kama imenuna inamachungu sasa naona ana sigara hahaha. ni Nyota au Sigara KAli kwakwakwa! mchore na Issa Michuzi si yupo kwenye Siasa za Kupiga Picha?

    ReplyDelete
  7. Jamani kweli kukaa ughaibuni sana kumewafanya hata hamjui hata sura za viongozi wenu. Pengine hao mnowaita magwiji wa kuchora ndio waje kujifunza kwa KP. Kati ya Pinda na JK nani anasura ya kuchekacheka na nani ana sura ya ukaksi? Kipanya wewe balaa mwanangu.

    ReplyDelete
  8. wazimu huu,,yan hii sura hamijui??afu acheni roho za "kwanini" mnaomuandama KP ujumbe kawakilisha,,choreni za kwenu

    ReplyDelete
  9. Nionavyo picha inajitosheleza. Akinogesha zaidi kama baadhi tunavyosema itakuwa ni kumchora nyoka na baade uongeze miguu.

    Kuwatofautisha hawa jamaa; JK na Pinda ni kwenye tabasamu/kucheka na ...?

    Ongeza bidii KP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...