Home
Unlabelled
baraza la iddi zenji leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi uncle Michuzi! Naomba nitoke nje kidogo ya topic. Naomba tafadhali picha ya wanafamila wa familia ya Capt. George Mazula.(Yeye mwenyewe pamoja na mke na watoto wake). Kuna controversy imetokea kidogo naomba nisaidie kusawazisha. Please usinibanie!
ReplyDeleteWasallaam.
duh!!eid mubarak kaka michuzi..salaam toka arlington texas hizi...umm no offense but kwa hii pic ulopiga leo hawa watu wanaotuongoza uko zanzibar sijui ndo kama mfungo umewakondesha au vipi...but for sure hali zao ziimechoka do u think wataweza kuwainua walala hoi huko kijiwe
ReplyDeletewe anon 7:06 huoni kuwa wewe ndo unaleta controversy hapa!!ebo!1picha si ukaiombe kwa familia na ndio wao wakupe!!
ReplyDeleteANON WA PILI NINI MAANA YA KUCHOKA? HEBU TUPE TAFSIRI YA KUCHOKA.
ReplyDeleteMICHUZI AMESEMA HAO NI MAWAZIRI KIONGOZI WASTAAFU ULITAKA WAWEJE? WAWE SAWA NA WATOTO WA MIAKA 20? HEBU TUMIA AKILI UNAPOTOA COMMENTS ZAKO. INA MAANA KINA MSUYA, WARIOBA, MALECELA, SALIM AHMED SALIM, SUMAYE BADO NI VIJANA HAWAJACHOKA?
SASA UNAPOSEMA KUWA WANAOONGOZWA WATAKUWAJE UNAONESHA HUJUI MAANA YA KUSTAAFU. MAANA YAKE HAO HAWAPO TENA MADARAKANI SASA ITAKUWAJE WAWE WANAONGOZA? RUDI SHULE
brig.gen.ramadhan haji faki alikuwa waziri kiongozi kabla ya seif sharrif hamad.
ReplyDeleteusiwe mbishi bwana ..theze guyz wanata kurun for presidency kwnye kisiwa???bilal na seif shareef!!!wat do u want me to say???jamaa wamechoka kuonyesha kuwa hali zao zipo taabani...tafuta pic ya obama and mc cain uwaangalie watu...i'm from zanzibar na ninaelewa nini ninachokisema katafute pic ya kikwete alivokuwa hajawa rais na sasa yupo rais??do u think hawa watu mmoja wapo akiwa rais hali yake itakuwa the same no way watajilisha..
ReplyDeletetuwape nchi watu wanaojiweza sio nazi nane mchele kilo moja!!!
Inasikitisha kuona watu wantowa maoni bila kujuwa nini wakitolea maoni au kuwa na taluma na hayo maoni kuna mtu ansema hao watu wamechoka lakini sasa hakujiuliza kwa nini haowatu wapo katikahali hiyo kwanza ukumbuke huku katika ulimwengu wa kwanza kama wenyewe wazungu wanavyowita watalamu wamegunguwa kuwa mtu kunenepeana ni ni kukaribisha maradhi na kuomba kifo kwa hara kwani unene unasababisha maradhi mengi sana yakiwemougonjwa wa moyo ,kizukari ,au pressure na dnio ukaona wenzetu wamekuwa na gym nyingi kuliko hata makanisa kwa sasa na wanwataka watu wao waache kula nyama kwa wingi na wawe wanatumia matunda na fresh food sasa ndugu yangu ikiwa kwa bahatimbay hujuwi hilofatilia ingia GOOGLE.com huko utaelimishwa asari za unene na mambo mengine la mwisho sikulaumu kwani wengi tumetokea huko ambako wazungu wanakwita ulimwengu wa TATU tunaelewa hali halisi ya kimawazo
ReplyDeletekwa faida ya wale ambao hawaelewe madhara ya kuwa mtu na unene soma haya wengi wetu hufariki dunia hapa kwetu siokama wakati umefika hapa hakuna utamaduni wa kuangalia afya zetu
ReplyDeleteWeighing may increase your risk for developing many health problems.
type 2 diabetes
coronary heart disease and stroke
metabolic syndrome
certain types of cancer
sleep apnea
osteoarthritis
gallbladder disease
fatty liver disease
pregnancy complications
You may be able to lower your health risks by losing weight, doing regular physical activity, and eating healthfully
naam kuchoka au kutochoka haimaanisihi unenenepe ....nina rafiki yangu ni topasi huko zanzibar na still ananenenpa kila siku zikienda...take a look again in this pic hawa watu wako kwenye eid au walikuwa wakibeba mifuko ya saruji kabla ya kuingia....wamechoka tena wamechokeana...
ReplyDelete