Mawaziri kiongozi wataafu wa Zanzibar Maalim Seif Sharifu Hamadi (katikati) na DK Moh'd Gharib Bilali (kushoto) wakiwa na Mh. Ramadhani Haji Faki Kwenye Baraza la IDD EL FITRI lililofanyika leo kwenye Hotel ya Bwawani Mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hi uncle Michuzi! Naomba nitoke nje kidogo ya topic. Naomba tafadhali picha ya wanafamila wa familia ya Capt. George Mazula.(Yeye mwenyewe pamoja na mke na watoto wake). Kuna controversy imetokea kidogo naomba nisaidie kusawazisha. Please usinibanie!
    Wasallaam.

    ReplyDelete
  2. duh!!eid mubarak kaka michuzi..salaam toka arlington texas hizi...umm no offense but kwa hii pic ulopiga leo hawa watu wanaotuongoza uko zanzibar sijui ndo kama mfungo umewakondesha au vipi...but for sure hali zao ziimechoka do u think wataweza kuwainua walala hoi huko kijiwe

    ReplyDelete
  3. we anon 7:06 huoni kuwa wewe ndo unaleta controversy hapa!!ebo!1picha si ukaiombe kwa familia na ndio wao wakupe!!

    ReplyDelete
  4. ANON WA PILI NINI MAANA YA KUCHOKA? HEBU TUPE TAFSIRI YA KUCHOKA.

    MICHUZI AMESEMA HAO NI MAWAZIRI KIONGOZI WASTAAFU ULITAKA WAWEJE? WAWE SAWA NA WATOTO WA MIAKA 20? HEBU TUMIA AKILI UNAPOTOA COMMENTS ZAKO. INA MAANA KINA MSUYA, WARIOBA, MALECELA, SALIM AHMED SALIM, SUMAYE BADO NI VIJANA HAWAJACHOKA?

    SASA UNAPOSEMA KUWA WANAOONGOZWA WATAKUWAJE UNAONESHA HUJUI MAANA YA KUSTAAFU. MAANA YAKE HAO HAWAPO TENA MADARAKANI SASA ITAKUWAJE WAWE WANAONGOZA? RUDI SHULE

    ReplyDelete
  5. brig.gen.ramadhan haji faki alikuwa waziri kiongozi kabla ya seif sharrif hamad.

    ReplyDelete
  6. usiwe mbishi bwana ..theze guyz wanata kurun for presidency kwnye kisiwa???bilal na seif shareef!!!wat do u want me to say???jamaa wamechoka kuonyesha kuwa hali zao zipo taabani...tafuta pic ya obama and mc cain uwaangalie watu...i'm from zanzibar na ninaelewa nini ninachokisema katafute pic ya kikwete alivokuwa hajawa rais na sasa yupo rais??do u think hawa watu mmoja wapo akiwa rais hali yake itakuwa the same no way watajilisha..
    tuwape nchi watu wanaojiweza sio nazi nane mchele kilo moja!!!

    ReplyDelete
  7. Inasikitisha kuona watu wantowa maoni bila kujuwa nini wakitolea maoni au kuwa na taluma na hayo maoni kuna mtu ansema hao watu wamechoka lakini sasa hakujiuliza kwa nini haowatu wapo katikahali hiyo kwanza ukumbuke huku katika ulimwengu wa kwanza kama wenyewe wazungu wanavyowita watalamu wamegunguwa kuwa mtu kunenepeana ni ni kukaribisha maradhi na kuomba kifo kwa hara kwani unene unasababisha maradhi mengi sana yakiwemougonjwa wa moyo ,kizukari ,au pressure na dnio ukaona wenzetu wamekuwa na gym nyingi kuliko hata makanisa kwa sasa na wanwataka watu wao waache kula nyama kwa wingi na wawe wanatumia matunda na fresh food sasa ndugu yangu ikiwa kwa bahatimbay hujuwi hilofatilia ingia GOOGLE.com huko utaelimishwa asari za unene na mambo mengine la mwisho sikulaumu kwani wengi tumetokea huko ambako wazungu wanakwita ulimwengu wa TATU tunaelewa hali halisi ya kimawazo

    ReplyDelete
  8. kwa faida ya wale ambao hawaelewe madhara ya kuwa mtu na unene soma haya wengi wetu hufariki dunia hapa kwetu siokama wakati umefika hapa hakuna utamaduni wa kuangalia afya zetu
    Weighing may increase your risk for developing many health problems.
    type 2 diabetes
    coronary heart disease and stroke
    metabolic syndrome
    certain types of cancer
    sleep apnea
    osteoarthritis
    gallbladder disease
    fatty liver disease
    pregnancy complications
    You may be able to lower your health risks by losing weight, doing regular physical activity, and eating healthfully

    ReplyDelete
  9. naam kuchoka au kutochoka haimaanisihi unenenepe ....nina rafiki yangu ni topasi huko zanzibar na still ananenenpa kila siku zikienda...take a look again in this pic hawa watu wako kwenye eid au walikuwa wakibeba mifuko ya saruji kabla ya kuingia....wamechoka tena wamechokeana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...