mwana fa a.k.a binamu akifanya makamuzi ya nguvu huko reading weekend hii
mtu ilikuwa nyomi kinoma
wadau wakiserebuka reading
palikuwa hapatoshi
binamu kazini
IJUMAA HII TAREHE 10/10/2008 BINAMU ATAENELEZA MAKAMUZI KATIKA CLUB AFRIQUE YA CANNING TOWN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi jamaa nimemkubali ila kitu kimoja tu watu waliokuwa naye hawajmwambia akinunua jeans mpya watu wanatoa stika za vipimo au ndio mambo ya bongo tambalale.

    ReplyDelete
  2. mimi t-shirt ndo limeniacha hoi...i really like it

    ReplyDelete
  3. hahahaha kumbe watu wameona nilifikiri mie tu nikawa najiuliza au zile jens za kuchanika zimeachiana kama style ila zile najuwa inakuwa mbele ila katoka pina tujaribu t-shirt kuvaa kwa size basi sio za xxxl hahaha ila hiyo stika jamaa kumbe tumeona wengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...