Home
Unlabelled
mdau ayoub mzee akiwa vekesheni st. lucia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Muulize vizuri huyo rasta sije akawa wakwetu(homeboy)aliyezamia meli na kulowea huko visiwa vya St. lucia Caribbean.
ReplyDeleteMaana hata hapa London tunakutana na dizaini hizo za rasta akisikia unaongea kiswahili ana kuja haraka na kukuuliza habari za bongo. Na ukimuliza anakwambia kwao ni Bombambili Songea ana alizamia Uingereza miaka ya 1970.
Mwambie ajiunge na blogu hii atawapata washikaji wenzake wengi waliozamia sehemu mbalimbali ulimwenguni.
wewe mchangiaji wa mwanzo namna gani? hukusoma post vizuri? huyo jamaa kasema kuwa kafunzwa kiswahili na mtu aneitwa Juma, sasa wewe unasema kuwa huenda akawa ni mbongo kivyeje?
ReplyDeleteHuyo Rasta wa Songea anaitwa Ramadhani?
ReplyDeletehahahaah kweli jamaa hajasoma vizuri rasta kafundishwa kiswahili huyo, angekuwa kazamia angesema ukweli yeye mswahili sio ila kama umeweka comment kama jokes basi ni funny ha-ha-ha mwengine hahaah anauliza kama huyo rasta anaitwa ramadhani watu wanatafutana na masela wao wa vijiwe zamaaaaani hahaha nendeni ugiriki na italy ndio mtakuta ma baharia wa miaka ya 70 kwakwakwa raha sana blog hii sio kila mtu ulaya kaja kwa ndege wengine meli jamani. ila kweli jamani hakuna usafiri wa MELi kutoka tanzania na je ni rahisi pesa meli mpaka ulaya au barani amerika tufahamishiane jamani wengine tunaogopa kupanda ndege plz mnipe jibu. from Kijiweni
ReplyDeleteNaona bora mukamuulize ndugu Mhando Jiwe au Peter Chain wa hapo Syria ,Damascus wanaweza kumtambua.
ReplyDeletesasa wewe unasema amuulize muhando jiwe vipi wakati muhando jiwe yupo bongo na huyo mtu yupo st lucia?au una kisasi na hao watu wa damscus nini.fuatilia maelezo ya habari na picha sio kuropoka kaka....basi kama ni hivyo itabidi tuumulize afisa mku wa uhamiaji..na hao unaowafananisha na huyo jamaa sio marastaa ..naona mtoa maoni umechanganyikiwa....na kwa taarifa yako damascus hakuna watu kama hao uliowataja..umechemsha
ReplyDeletewadau huyo mzee rasta katikati ni mwenyewe burning spear na kushoto mpiga gitaa wake junior mavin kwa hivi sasa hawana kitu tena wameamuwa kuwa wavuvi.
ReplyDelete