BANJUKA TOUR BANJUKA TOUR

NA

MWANA FA aka BINAMU

JUMAMOSI HII

TAREHE 4/10/08

NDANI YA

READING FACE CLUB

RG1 7JE

NA WATAALAM WA BURUDANI BONGO DJS

ENTRY £10 ONLY FROM 11PM-3.30

WITH BEST DJZ RICHIE,PETER ERIC, RICHIE(t)

&GUEST DJ FROM USA

DONT MISS IT!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama visa yako haina ruhusa ya kufanya kazi, ndugu yangu usipande jukwaani, kuna rumour mitaani watu wanakusudia kuanza kuwashawishi polisi kila time mwanamuzi wa kitanzania anapokuja uk.

    msije rusha marungu ndugu zangu mimi nasema niliyoyasikia mitaani tu, na kuwa sipendi mwenzetu akajikuta pabaya, umuhimu kama hana kibali basi bora akachukuwe haraka.

    ReplyDelete
  2. maneno ya mkosaji hayo,unaushindani na hawa watu?usitishie kujamba wakati unaharisha unaweza ukajinyea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...