grace rosalia kasella akiwashukuru wazazi kwa kuwapa keki wakati wa send-off yake usiku kuamkia leo. hii ni ndoto, furaha na fahari ya wazazi kuona mtoto wao akifunga ndoa
grace rosalia akifaya chiazzz na wakweze
mama wa mitindo asia idarous akiwapongeza grace rosalia na faridi
grace rosalia akiwa na bosi wake pale benki ya barclays anakofanyia kazi
mzee mzima bw. hamsini alikuwepo kurekodi tukio hili
watarajiwa wakilisakata
ukumbi wa istana ulipendeza kwenye send off ya grace rosalia usiku kuamkia leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mdogo wangu Fareed hongera ndio ukubwa huu.Mliambiana nini naona wote mnanyanyua majiko kwa pamoja.
    Pius

    ReplyDelete
  2. Familia ya Kiondo inawatakia heri na baraka katika maisha yenu mapya ambayo mnataka kuyaanza. Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  3. khamsini watz up brother utarudi lini texas ?

    ReplyDelete
  4. Kaka Farid,

    Hongera sana winglow! Nasikitika sana kumiss shughuli hii.Mmependeza sana kaka, karibu kwenye club ya wanandoa.

    Mimiiii...bado nipo nipo..!

    Upinde wa Buga

    ReplyDelete
  5. sasa huyo bosi wa barclays anapewa keki ya nini?? ama sababu ni mzungu.........watanzania tutabadilika lini??

    Pia wadau ebi nisaidieni maana ya kuwa na keki kwenye send off ni nini??

    Personally mimi nadhani the whole meaning of a send of party is being mislead as the days goes by?? ningependa kujuwa.

    ReplyDelete
  6. Farid hongera sanaaa nimefurai kukuona tangu,Tuachane Shabanrobert
    Nakutakia maisha mema wewe na mkeo

    ReplyDelete
  7. NA MIE NDO NASHANGAA HUYO BOSS ANAPEWA KEKI KWA MTAJI GANI. MAANA MA-BOSS WEUSI SIJAONA WALA KUSIKIA WAKIKABIDHIWA WALAU KIPANDE CHA KEKI.

    ReplyDelete
  8. kHA!!!!!!!! mZUNGU KANIKERA. nO BEEF. nI HAYO TU.mMEPENDEZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...