grace rosalia kasella akiwashukuru wazazi kwa kuwapa keki wakati wa send-off yake usiku kuamkia leo. hii ni ndoto, furaha na fahari ya wazazi kuona mtoto wao akifunga ndoa
grace rosalia akifaya chiazzz na wakweze
mama wa mitindo asia idarous akiwapongeza grace rosalia na faridi
grace rosalia akiwa na bosi wake pale benki ya barclays anakofanyia kazi
mzee mzima bw. hamsini alikuwepo kurekodi tukio hili
watarajiwa wakilisakata
ukumbi wa istana ulipendeza kwenye send off ya grace rosalia usiku kuamkia leo

Mdogo wangu Fareed hongera ndio ukubwa huu.Mliambiana nini naona wote mnanyanyua majiko kwa pamoja.
ReplyDeletePius
Familia ya Kiondo inawatakia heri na baraka katika maisha yenu mapya ambayo mnataka kuyaanza. Mungu awabariki.
ReplyDeletekhamsini watz up brother utarudi lini texas ?
ReplyDeleteKaka Farid,
ReplyDeleteHongera sana winglow! Nasikitika sana kumiss shughuli hii.Mmependeza sana kaka, karibu kwenye club ya wanandoa.
Mimiiii...bado nipo nipo..!
Upinde wa Buga
sasa huyo bosi wa barclays anapewa keki ya nini?? ama sababu ni mzungu.........watanzania tutabadilika lini??
ReplyDeletePia wadau ebi nisaidieni maana ya kuwa na keki kwenye send off ni nini??
Personally mimi nadhani the whole meaning of a send of party is being mislead as the days goes by?? ningependa kujuwa.
Farid hongera sanaaa nimefurai kukuona tangu,Tuachane Shabanrobert
ReplyDeleteNakutakia maisha mema wewe na mkeo
NA MIE NDO NASHANGAA HUYO BOSS ANAPEWA KEKI KWA MTAJI GANI. MAANA MA-BOSS WEUSI SIJAONA WALA KUSIKIA WAKIKABIDHIWA WALAU KIPANDE CHA KEKI.
ReplyDeletekHA!!!!!!!! mZUNGU KANIKERA. nO BEEF. nI HAYO TU.mMEPENDEZA.
ReplyDelete