

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani hii ni babu kubwa kwa watu maarufu kama huyu kuja bongo kuangalia jinsi binadamu wengine wanavyoishi...maana wana uwezo wa kusadia...Wabongo tuitangaze nchi yetu....
ReplyDeleteNiliona jana kwenye CNN na pia nilifurahi kuona huyu kijana alipofurahishwa kuona watu wanajitahidi kutafuta hela yao badala ya kusubiri kusaidiwa tu
ReplyDeleteMwonyesheni Baba yetu hii ajue kuwa watu wa huku wamechoka kuombwa. Watakusaidia mara wakiona kuwa unajisaidia mwenyewe
Hata mimi nimefurahishwa sana na huyu John Legend,amekwenda kuangalia jinsi watu wanavyoishi na ameona baadhi Watanzania wanavyoishi kwa tabu lakini wanajituma ili kuondokana na tabu hizo,kwa kweli imempa moyo sana John Legend na ameamua kutoa msaada mkubwa kwa watu wa huko Mbola.Hii ni safi sana.
ReplyDelete