Home
Unlabelled
kikao cha kujadili muungano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"Wee!, shikka adabu yako, si tumeshapanga ya kuja kusema hapa? sasa mbona unamuona Pinda na weye unaanza kupinda pinda?!"
ReplyDeletewatueleze Muungano utavunjwa lini.
ReplyDeleteWatanganyika tumechoka jamani.
Hapa Shamhuna anaelekea kusema hivi "..nyinyi watanganyika kama hamtaki suala la mafuta litolewe kwenye Muungano, bora tuvunje huu muungano..."
ReplyDelete"..In the abundance of water, the fool is thirsty.."
HAWA CCM NI WASANII, MWAFAKA WALISEMA UPELEKWE KWA WANANCHI, SASA IWEJE SWALA KUBWA WATU WATATU WACHACHE WALIJADILI BADALA YA KULIPELEKA KWA WANANCHI? HAWA NI WASANII NA VIGEUGEU.
ReplyDeleteTanzania ni nchi masikini, na anayefaidi hapa ni Zanzibar, ukweli ni kwamba Tanganyika itapata maendeleo makubwa kama tutajitenga. mapendekezo yangu ni kuwa Zanzibar iwe mkoa, na huo ndio utakuwa Mwafaka.
ReplyDeleteHao ni watatu tu,hayo mamlaka ya kuujadili Muungano wamepewa na nani?Wanafanya hivyo kwa Ridhaa ya Nani?maana shurti tujue.Kuna vichwa zaidi ya milioni 40 Tanzania hivi sasa!Na isitoshe suala la Muungano hivi sasa linagusa maslahi na mamlaka ya vyama vote vya siasa hapa nchini.CCM wasijifanye kama vile nchi hii bado ya chama kimoja cha siasa!They wont get nowhere!
ReplyDelete