Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hiyo siyo KP 2day ni Breaking news!!!

    ReplyDelete
  2. Wewe Kipanya hicho kikao chako kisicho na hata chupa moja ya maji ya kunywa kitakupa taabu.Balozi wa Zain,Athumani Hamisi anaendeleaje?No updates so far.

    ReplyDelete
  3. Wewe KP angalia wasije wakakubenealise.Naona sasa unaelekea pabaya.Jana Utabili wa fweza za EPA na Leo kikao cha dharura. Ohoo shauri yako

    ReplyDelete
  4. asante sana KP + Michuzi kwani katuni inathamani kama 1000 za maneno. Mimi nadhani baadaye Tz tuige mfano wa marekani. Kwani hela za kampeni lazima wachangishe hao hao wanaogombea. ili hata wakinunulia ma-fuso inakuwa ni shauri yao. Sijui. Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  5. Breaking news!!!!!!!!!!!!!! Mr.Misupu a.k.a baba mkwe atatangazwa Mjumbe wa Tigozzzz muda si mrefu! Alamba takrima kuondoa maoni ya wadau waliouliza gharama ya 24milioni kwa madarasa mawili Ukerewe

    Nawasilisha. Akibania haya maoni poa tu.

    ReplyDelete
  6. inamaanisha huyo wa katikati ndo ametumia hizo pesa mbona hajitetei ....kwikwikwi

    ReplyDelete
  7. Mzee Makamba alipoona mambo magumu aliamua kuwatukana wanatarime kwa kuwaita wahuni, kisa, nguvu ya jeshi la polisi hawakuiogopa pesa na jezi za ccm walizopewa walizipokea na jezi wakajichoma moto. Sasa sijui nini kitakachowatokea tume ya uchaguzi na jeshi la polisi kwani nyenzo zote walipewa, kwanini ushindi haukupatikana?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...