(YESU NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE)
Jumapili, 26 October at 14.30

Tunafurahi kuwakaribisha kwenye Ibada ya Kiswahili, itakayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, kutoka Ibada ya Kiswahili (St. Anne church) London akishirikiana na Ev. Felix Kallaghe na Moses Shonga
Njoo tumwabudu Mungu katika Roho na Kweli, mapambio na nyimbo mbali mbali.
Wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa.
Baada ya ibada tutashirikiana kwa vinywaji na vitafunio.
Watu wa madhehebu yote mnakaribishwa.
Ibada hiyo itafanyika:-

Hexham Community Centre
1a Bamburg Close, Whitley
Reading, RG1 7UD
www.stanneslutheranchurch.org
020 7606 4986 or
For information:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mubarikiwe kwa huduma hii nzuri,na ujumbe ambao woote tunaupata kupitia blogu hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...