Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiangalia watoto katika darasa la kompyuta shule ya Li Yuan primary school huko jiji la Shenzhen city, China,. Mama Kikwete yuko China kwa ziara ya kikazi ya siku 5 kwa mwaliko wa Huawei Technologies company yenye makao yake makuu hapo Shenzhen City.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Shule za wenzetu nzuri, nakumbuka kikatuni wakati wa raisi mkapa, yupo na mandela na clinton, mandela na clinton wanafikiria jinsi ya kuweka kompyuta na mitandao kwenye shule za msingi, mkapa akawa anafikiria jinsi ya kuweka madawati!

    Serikali inabidi ijitahidi, ama sivyo mafisadi wakiendelea tutaendelea kuwasomesha watoto chini ya miembe.

    FISADI MMOJA WA EPA = MADAWATI YA ZAIDI YA WATOTO LAKI MOJA!

    ReplyDelete
  2. mhh.
    Hapo china shule ya chekechea na Kompyuta.
    Tanzania , chuo kikuu cha Dar kwa wastani kompyuta moja wanafunzi 40 wanaisubiri.
    Halafu mnasema Tanzania tumeendelea. Subutu.

    ReplyDelete
  3. Huyo mke wa kikwete au mama yake? mbona unaandika mama kikwete? hiyo nilaana katika islamu kumuita mke mama.

    ReplyDelete
  4. Halafu mnawalaani wa TZ waliosaini mikataba ya madini, kweli mtu kasomea chekechea kwa compyuta utamlinganisha na yeboyebo pr school ya Bongo? Si ndio maana wakipewa mikataba feki wanasaini tu yees yees then RICHMOND!!BUZWAGI!!GEITA and the list goes on!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...