Home
Unlabelled
latoya's home coming bash friday
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Stop rewarding bad behaviour. Tanzania we have lost our way we are too much to the left liberal . Our founder Nyerere was the most conservative president ever in tanzania but, he practices the wrong policies. He was living this way and he governs that way .The country is now at the verge of collapsing morality and values no more marriage is just a joke , people hate one another and greed and selfish is too much to the top.
ReplyDeleteThis girl should not have that party she doesnot deserve it.
WEE ANONYMOUS WA KWANZA NDO NINI KUTUANDIKIA HICHO KI-KRISTO CHAKO WAKATI KISWAHILI WAKIJUA UMEMSIFIA NYERERE WETU HALAFU UKAMKANDIA MWACHE APUMZIKE KWA AMANI.
ReplyDeleteDini imetoka wapi tena hapo wapendwa? Anonymous wa kwanza pumbaaaaaaaa. Mwache mtoto wa watu afanyiwe party yake maadili ya kiafrica yamepotea kwa ajili ya umasikini na chuki kama hizi ...globalization hiyo kwa hiyo ya ulaya nayo yanakuja Africa
ReplyDeleteMimi sipendi kuitana majina humu ndani. Anon wa kwanza katoa comment yake...ni uhuru kusema apendavyo. Kama imekuboa...usimwite mjinga ua mpumbavu...hehehe. Kila mtu anaona vitu kwa mtazamo wake.
ReplyDeleteBack to the topic: Kama wana hela za kumtolea party...shida iko wapi? Sio kana kwamba kaiba kama mafisadi kadhaa ninaowafahamu wanadunda na maisha tu.
Hasira za nyumbani msilete kwenye blog. alah! basi hiyo part wala sikosi.
ReplyDeleteKwa kweli kuna wenye hasira zao za nyumbani wanataka kutema cheche hapa bure....
ReplyDeleteMimi nilimwangalia sana binti yetu na kwa kweli namfagilia sana kwa jinsi alivyoiwakilisha nchi yetu na yeye mwenyewe. Tangu ametoka mle ndani BB3 uinanibore ile ngumu!
Sasa anon wa kwanza...kama unataka kuangalia watu wenye morals, unaangalia BB kweli? Ziko channels nyingi sana za mahubiri kwenye Dstv...ishia huko na mwache binti yetu afaidi matunda yake!!
Ningekuwa Dar na mie ningekwenda kwenye hiyo party kumpongeza!