
Mheshimiwa kaka Michu!!!
Salam za kheri na baraka za Eid zikufikie kokote kule ulikokwenda kwa vakeshini.Mie nimeona nikutumie taswirazzz ya nilikokwenda kwa vakesheni kwa faida ya jamiii...
Asante sana kwa kuendeleza libeneke...
Salam za kheri na baraka za Eid zikufikie kokote kule ulikokwenda kwa vakeshini.Mie nimeona nikutumie taswirazzz ya nilikokwenda kwa vakesheni kwa faida ya jamiii...
Asante sana kwa kuendeleza libeneke...
Mdau gnel,
botswana-----------------------------------------
Mdau! Wow!!
hili ni bonge la snepu. sina cha kuongezea. ningekuwa si mtu wa kamera ningesema hapo ni mambo ya adobezzzzz.... lakinni hiyo ni laivu. hongera sana mdau. haya ndo ambo ya ubunifu na subira. hapo ukiwa na haraka hupati hiyo tan-kiss...inabidi nianzishe zoezi la taswirazzz ya wiki ama ya mwezi. mnaonaje wadau. nasubiri ushauri pia naongea na wafadhili nioe kama kutakuwa na kifuta lenzi...
michuzi
la
picha nzuri ungeweza kupunguza shutter speed na kuongeza aperture kidogo ingeleta taswira nzuri kwani zebra wa mbele wangekuwa blur kidogo.Kwa ujumla splendid creativity.
ReplyDeleteWOW!
ReplyDeleteMimi si mtu wa picha lakini nimenyoosha mikono hapo! Uliwataim vipi wakapozi hivo hao punadamilia wawili? Utafikiri mtu kawaambia poooz, smile, Too cute.
Ningekushauri hii picha uipeleke CNN kwa Anderson cooper 360 ataitoa kwenye "SHOT OF THE DAY".The world should share this beauty,
SM
Hongera Minja nimikuona!!! Sasa kumekucha toka Botswana .. (dRU)
ReplyDeletePicha kali sana !! Hongera mpigaji !
ReplyDeleteI THINK HAO ZEBRA WALIKUWA WANASHANGAA WANAJIONA KWA KIOO, NDO MAANA WAKAZUBAA KWA MUDA, WAKAONEKANA KAMA WAMEPOZI
ReplyDeleteUnapozungumzia "ulevi" wa picha basi huu ndio wenyewe. Yaani picha imetulia saana. Kuna ya kukososa katika kila picha maana kila mtu kwa jicho lake na mtazamo wake.
ReplyDeleteGreat Picture and keep that "good addiction"
duuu hii sio mchezo! nakubaliana na mtoa maoni wa kwanza hao wa mbele wangekuwa blur na focus ikawa kwa hao kwenye kioo ingekuwa bomba sana.....
ReplyDeleteNingependa kujua camera gani unatumia na lens kiasi gani umetumia kwenye hii picha!
za mbele ziwe bluu??kwanza hii ni fluku ama bahati ya mtende. kama ni za kweli basi nadhani hii ni picha ya mwaka. kama si ya karne.du manake hiyo subira. no hapana. ka pose live tv then kapiga. manake ni bonge ya picha .kichaa wa canon 40d
ReplyDeletemichuzi, hii ni Photoshop acha ushamba wewe
ReplyDeletePicha nzuri sana nimeipenda,sasa kaka Michuzi hiyo point uliyoitoa ni nzuri mimi naona uwe na taswira ya wiki ukisema mwezi utakuwa nazo nyingi halafu kuchagua itakuwa kazi sana.kama inawezekana hii ya kina zebra iwe ya wiki hii.Mdau Canada.
ReplyDeleteabsolutely breathtaking. Nakubaliana na mdau juu hapo... peleka katika mashindano ya picha.. naweza shinda tuzo
ReplyDelete