Kaka michuzi nimevutiwa sana na blog yako. Huku Geita Mining tunaifagilia kichizi! Keep it up!
sasa naomba uturushie hii picha ya kitchen party ya mdau wako mkubwa anaitwa Jane C. Kabiligi (kushoto).
Asante sana
Mdau Geita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Amependeza.Hingera sana binti.Ukumba wa Roman Catholich hapo au Lake view Hotel?.Remember Geita,hakuna kumbi za kutosha kila tafrija ni Ukumbi wa Roman catholic!!.Anyway,nimetoka siku nyingi kidogo.

    ReplyDelete
  2. Ni yupi kati ya hao wawili?
    Aliye kushoto au kulia tunapoitazama picha?
    Wote wamependeza.

    ReplyDelete
  3. wewe mtowa maoni wa pili kiswahili lugha yako au vipi? au ulisomea chini ya migomba? maelezo yanasema wazi.

    ReplyDelete
  4. dada picha zako mtumie zeze kule ndo tutazichambua na utuambie rangi ya k-party, tuone na cake ...kule ndo mambo haya yapatikana kwa saana www.8020fashions.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. Nafikiri ni huyo aliyebeba kikapo cha maua kichwani ndiye bibi harusi, kapendeza!

    ReplyDelete
  6. Mtoa maoni wa pili uko sahihi kabisa.Jane C Tunayemfahamu ni aliye upande wa kulia.Naomba ututake radhi.Poleni sana nasikia MC mliyemtoa DAR amemliza bi harusi mtarajiwa baada ya kutokomea na kapu lote la fedha za zawadi DU Kweli bongo darsalama.Pole Jane hawakutakii mema hao hayo ni majaribu tu vamilia

    ReplyDelete
  7. hivi nani kaweka sheria ya bi harusi mtarajiwa kuvaa sare na mpambe? ona sasa tunavyopata tabu licha ya maelezo.

    ReplyDelete
  8. Ongera sana Jane.

    Mi ni Neema tulikuwa shule moja Uganda mwaka 2000. Nipo Dar siku hizi.

    Nakutakia mafanikio mema.

    ReplyDelete
  9. Jamani huyu Jane ni mtoto wa Selestin au namfananisha?kapendeza sana sio siri!

    ReplyDelete
  10. JAmani nyie mnaomfahamu Jane niyupo kati ya hao maana nao wamevaa sare hata hatuelewi biharusi ni yupi kati yao , jane nihuyo mwenyepua kama msomari au nihuyu mfupi waupande wakushoto tunapoitazama picha ? Alafu jane peleka picha kule kwa zeze dada tukakutizame uzuri huku madesa mengi.Usisahau kutuwekea na za Sendoff pamoja na zaharusi ee. Jane pls usisahau bana lol.UMEPENDEZA

    ReplyDelete
  11. Jane hongera sana, Kabaki Getr nawengine wambie wakaze busio sio kujifanya bado wapo wapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...