


Mimini mdau mkubwa sana wa hii blog ye2 ya jamii,
Hapa vijana walikuwa wote seminarini, na later wengine waliaamua kuwa walei na wengine watawa, ndivyo inavyoonekana kwani, MaReverend wa4 walikuja mjini kusoma ibada ya shukrani pale kanisa katoliki Kawe, na kukutana na wenzao walokuwa nao Uru seminari.
Baada ya ibada, Tulienda kuburudika kidogo na kukumbushana yale ya BROTHER CHAUMEME, na landcruiser letu tulotumia kwenda kulima maharage king'ori na kilacha.
Enjoy.
Mdau alonyimwa viza ya uturuki.
Head, Reader & Technical Services Department
The Open University of Tanzania
Kawawa Road
P.O. Box 23409
Dar es Salaam - Tanzania
Cell: 0754 315 978
Office: +255 22 2667468
Email: aristarik.maro@out.ac.tz
aristaric@yahoo.com
HAWA WATAWA MBONA WANANISHANGAZA? WANAPIGA KILEVI JAMBO AMBALO VITAVU VYA DINI VIMEKATAZA? AU WAO WANA IMMUNITY YA KUTOBANWA NA MASHARTI YA DINI? KAMA KAZI YA NENO LA MUNGU INAWASHINDA KABLA YA KUSIMIKWA JEE BAADAE MTAIWEZA KWELI?
ReplyDeleteTURUDI KWA MUNGU WETU HIZO POMBE ZI KATIKA SIFA ZA WATUMISHI WA MUNGU
Waheshimiwa long time, sikujua kama mmesha kuwa ma Padri, Hongereni sana.
ReplyDeleteMzee Astery vipi na wewe uliingia Mtini kumbe?
Evarist J N Muhaya
emuhaya@uakron.edu
Uru Seminary Class of 1999.
haya kwa wale wanaosema michuzi anapendelea udini wako wapi? msimuonee bure michuzi michuzi yeye anaweka dini kutokana na kama eid au ramadhan au x-mas au pasaka msiseme anapendelea tu dini yake mie mkristo ila michuzi hapendelei hata hindu huwa anaweka michuzi.
ReplyDeleteMichuzi hapendelei udini sema miaka hii Serekali INAUDINI ndani yake. tofauti na Ukristo ambapo huwezi kuona viongozi wa serekali wanasherehekea pasaka na christmas makanisani na familia zao na sio kualikana kwenye futari za kiserekali.
ReplyDelete