mpiganaji athumani hamisi (pili shoto) katika benchi la ufundi la tsn ilipocheza fainali za nssf na kutwaa ubingwa. mpiganaji athumani hamisi yuko sauzi katika hospitali ya millspark state hospital anakopata matibabu kufuatia ajali ya gari aliyoipata huko kibiti mwezi uliopita. hali yake inasemekana inaendelea vyema na wadau wa sauzi si vibaya mkamtembelea kumpa pole. wapiganaji wenzio tunaku-miss supa-sab wetu ambaye ukiingia uwanjani lazima ulie na nyavu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michufuzi...jamaa alikukosa kosa ya mgongo...!!..lol

    Poleni kwa msiba wa Roy, dah, imeshtua hiyo, sanaa imepoteza kichwa ambacho mkono wake ulikuwa unakubalika na wa tofauti sana!! R.I.P.

    Mchofomvu wa US..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...