Michuzi!
Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote duniani mwenye nia ya kweli ya kuolewa.
Niko kwenye medical field. Iam 6 feet, great personality and ambitious. No special preference needed. Usijali wapi ulipo, jisikie huru kuniandikia and I will respect your privacy.
Sio lazima uambatanishe picha kwenye email yako ya kwanza, though unaweza kufanya hivyo ukipenda. You can leave me your phone number if you prefer and I will call you at your convenient. Tafadhali usijisumbue if you intend to play games. I won't respond.
Thanks.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kwa usiwasiliane na Flora Marwa yule alikuwa anamtafuta John Mashaka.

    Email yake ni floramarwa@gmail.com
    Maana yeye anapenda sana wabeba maboksi.

    Changamkia hiyo tenda kaka umekuja wakati muafaka sana maana kuna mtu vacant naye anatafuta.

    Misoup usinibanie sijachafua kali ya hewa hapa,nimeosha kinywa tu.

    ReplyDelete
  2. Doo mzee! 35yrs na bado umeshindwa kupata mchumba?? I know age ain't nothing but a number, but with nothing nothing in your site it becomes an issue.
    Goodluck I am sure utawapata walichokwa na wanageria.

    ReplyDelete
  3. If this stuff is serious, I bet you gonna get more electronic letters and you won't bileive yourself. utapata kwa madebe. najuwa itakuwa siri yako lakini hiyo ni hali halisi utapa barua kibao.

    ReplyDelete
  4. Tuwasiliane ni msichana nina 27yrs naishi Tz.

    ReplyDelete
  5. Kweli age aint nothing but a number....Kaka mimi ni msichana wa miaka 15 niko tanzania niko tayari kuwa mchumba wako unikuze mwenyeweeee!
    Asante.

    ReplyDelete
  6. Miaka 35? Ukiulizwa, ooh bado nipo nipo kwanza!Matokeo yake ndiyo haya.Hao wachumba utakao wapata kupitia internet utasema nisingetangaza.Maana watakuwa kama wewe ambao walikuwa wanasema bado niponipo kwanza.Wameshaponda maisha,wamechanganyikiwa sasa wanatafuta pa kupumulia.Utajuta ndugu mapenziyakweli.Kwasababu umeshachelewa utaamua kuchukua kwa mtindo wa "first in first taken".Baada ya mwaka ndoa inakuwa ndoana.Mimi nakushauri ukatafute mchumba kwenu kijijini, walau huyo ndugu zako watakuwa wanajua historia yake.Kisha utachukua time wewe mwenyewe kumfundisha mambo ya mjini.Huo ni ushauri wa bure ndugu yangu.Angalia usije ukaoa mwanaume kama huyo aliyesema ana miaka 27.Maana mwenyewe umesema hutaki picha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...