Habari za kazi? Samahani sana kwa usumbufu, naomba msaada wako. Namtafuta kaka yangu John Mashaka, ambaye ni mtoto wa baba yangu modogo .Tumepotezana mawasiliano takribani miaka 14.
Tangu tupo shule za msingi hadi leo hatujaonana Baada ya kuona video yake uliyoiweka kwenye daily news website, http://dailynews.habarileo.co.tz/streaming/?vid=USbasedTanzanianSocialactivistJohn
Mashakatalksofhisexploits.flv&id=110
nimeamua kukuomba msaada ili kuwasiliana naye, na pia kumpa pole kwa kufiwa kwake.kadhalika pongezi kwa kazi zake nzuri.
nimeamua kukuomba msaada ili kuwasiliana naye, na pia kumpa pole kwa kufiwa kwake.kadhalika pongezi kwa kazi zake nzuri.
ila sitaki uzushi kwa maana sisi ni ndugu
Asante sana wadau wote,
Asante sana wadau wote,
tuendeleze libeneke
Dada Florence,
Dada Florence,
Leeds UK.
Ndugu yako lakini huna mawasiliano naye miaka 14!!!??
ReplyDeletewatu tungekuwa tunatumia majina yetu ya kweli kwenye bulogu au forums basi tusingepata matatizo ya kama huyu mwanakijiji mwenzetu.
ReplyDeleteDada yangu Florence, kwanza pole kwa maana waosha vinywa wanakuja kwa hasira na vishindo,jitayarishie makombora!
ReplyDeleteIla katika uchambuzi wangu nimeona kwamba hauna la maana kwa sababu, kwanza sidhani Mashaka anaweza kukukubali, ila nakupa ushauri mzuri
1. Ungeenda Gym upunguzi vinyama.
2. Uachane na mapozi ya kishamba
3. Achana na Masupa Stars (maarufu)
4. Ridhika na ulichonacho,
5. Usipende sana vi- ATM
6. Wakubali watu wa upeo wako
7. Achana na kupiga picha vitandani
8. Punguza kwend akwenye ma gesti
9. Punguza Uongo, siyo ndugu yako
10.Usitafute wanaume kwa kulazimisha
Mashaka, anakaa nyumbani kwangu nimemuajiri katika grocery store yangu, na nitamuoza mdogo wangu.
Kwa hiyo wasiliana na mimi kwanza ili nikupe data zake zote 0713-457-1204
Siku zoooote usimtafute...leo kwasababu jamaa mambo yake poa ..unajifanya ndugu!...Kama ulikuwa unania ya kujua ndugu yako yuko wapi kwanini usimtafute wakati huo Mashaka yuko Mkoa!!! Dada acha uzushi!.
ReplyDeleteWewe Dada, na akili yako timamu, unakuja kumtafuta Mashaka huku? Wenzako wazuri wasomi wameshindwa, sasa wewe wazimu gani ilikuingia na kuja kuingia na gia kama hiyo ya kishamba. Haya tutaona kwa maana Manka Mushi kashindwa
ReplyDeleteWewe hauna lolote huku unawatafuta watu wenye vijisenti vyao? Unadhani utajiri wake aliuokota? Huyu jamaa inaonekana kapigika sana
Heri hata Ungejaribu Kinje mtoto wa mjini ingekuwa afadhali kuliko ya Mashaka. Sikulaumu lakini kila la kheri
Mnyamwezi
Mbona unazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu? Ndugu yako miaka 14, alafu ushindwe kuwasiliana naye. Mtoto wa baba yako mkubwa umtafute tu kwenye mtandao? Kazi ipo bongo.
ReplyDeleteDada mimi nafanya biashara ya dhaabu, malipo yangu ni Dollar millioni 5 kwa mwaka. Nitakununulia Toyota Harrier, kukujengea nyumba mbezi na kukupeleka shopping Afrika kusini.
Kwa hiyo Maswala ya Mashaka hachana nayo, mimi pia kazi yangu inashinda wall-street yake. Ikiwa hamjaonana miaka 14 basi hakuna faida tena. tuwasiliane basi 0786-221-5411
Florence, ukimaliza shuguli zako hotelini, mbona usitandike kitanda vizuri. Sasa Mashaka atakuja kulala huko kweli? Haya Jaribu bahati yako.
ReplyDeleteHii kamwe haitasaidia kumuongezea yeyote umaarufu hapa, acheni mambo ya kuzunguka zunguka kumhusu huyu jamaa.
ReplyDeleteSikiliza dada, kwa nini usizuru tovuti yake ambayo ina contacts zake kama ifuatavyo hapa chini na uzitumie kuwasiliana naye?
http://www.mashakafoundation.org/contacts.html
The John Mashaka Foundation
Tel: 704-469-0728
JMfoundation@mashakafoundation.org
Kaka Michuzi huna haja ya kunibania hii maana situsi mtu hapa nachosema ni ujumbe kwa Mashaka kuwa ;
"TENDA WEMA UENDE ZAKO, EPUKA MATUMIZI YA MASS MEDIA YASIYO YA LAZIMA'"
Sasa picha ya kazi gani?...Miaka 14 atakukumbuka na picha ya leo?...at least ungetuma ya enzi hizo....tehehehe
ReplyDeletePili: Ndugu yako unamtafuta kwenye libene ya jamii?
Hujui kwao au ni vipi?
Hii ishu haijatulia kabisa...
Anyways...tutakuombea umpate
mtoto
Huyu msichana kanishangaza sana kumtafuta kaka yake mtandaoni. Ninavyojua undugu si mtu mmoja tu, kama kaka yako basi mnao pia mama, dada, shangazi, mjomba, na wengine wengi ambao ni ndugu zenu. Ina maana hao wooote hawajui aliko Mashaka mpaka uje umtafute humu? Hapa kuna lingine!
ReplyDeletehii imekaa vibaya dada yangu, wee ni flora marwa, utakuwa mkurya wa mara ndio, mashaka ni mjaluo wa shirati, iweje baba yako mkurya awe kaka wa baba wa mashaka ambaye ni mjaluo??
ReplyDeletejaribu kuunganisha huo undugu kwa staili nyingine, hiyo haingii akilini kabisa!! wapi wapi na wapi dada wa kikurya ana kaka mjaluo??
tena waluo wasio enda jando?? mkuu wa wilaya usibane hii tasavali, ni mtizamo tu!
Dada yangu Florence wewe kweli ndo mwenyewe.
ReplyDeleteUmesema mashaka ni ndugu yako , mtoto wa baba yako mdogo, halafu ukasema pole kwa kufiwa kwake.
Sasa kama Mashaka ni mtoto wa baba yako mdogo, basi na wewe umefiwa na baba yako mdogo na wala sio kusema kufiwa kwake. Inaamaanisha hamna undugu wa karibu sana vile.
Nusu ninaweza kukubaliana na wewe kwamba ni ndugu yako na hamjawasiliana miaka kwa kuwa wakurya huwa wanakuwa na wake zaidi ya kumi na watoto huwa hawajuani maana mama ni mbali mbali na wajomba pia ni mbali mbali.Labda baba ya Mashaka ni Mkurya wa Tarime na mama yake ni mjaluo wa Shirati, hivyo John mashaka alikulia kwa wajomba zake ujaluoni na wewe upande wa baba zako ukuriani. Halafu mara nyingi ukisikia mtu anaitwa Mashaka ujue kwamba baba yake alimkataa kwamba sio mtoto wake wa ndoa na labda ni wa nje alipozaliwa na kukawa na mashaka mashaka.Hivyo kukulia au kulelewa upnde wa wajomba au mama ya mama yake(bibi).
Anyway nitakusaidia :
Simu ya mashaka ni 704-469-0728
pia fuatilia website hii na mtawasiliana.
JMfoundation@mashakafoundation.org
Huyu dada, nadhani wanaigeria walimlalia vibaya, kaamka kajisahau kwamba mashaka ni ndugu yake.
ReplyDeleteUkitoka usingizini utakuta kwamba umefanya kosa kubwa sana. Waosha vinywa na wabeba boxi chnagmkieni hii tenda
Jamani waosha vinywa, dada wa watu anataka mawasiliano na Mashaka, kakae, ninyi mnazungumza yenu ilhali keshawaonya? Pole dada yangu. Mawasiliano ya Mashaka haya hapa
ReplyDeleteMashaka Marwa
S. L. P 009
Dar es Salaam
Simu: +255 798 300200
Email: haijatulia@ogopa.com
Nakutakia kila la kheri dada, achana na waosha vinywa. Wewe kaza buti na mambo yako, na usiogope kutumia umma kwa upuuzi. Si bora wewe kuliko mafisadi, japo nyote mnatumia rasilimali vibaya?
Hala hala waosha vinywa, hamna dogo ka "wanamgambo wa city!!".
ReplyDeleteQ
dada yangu sasa mume wangu wa ndoa wa miaka 14 umtafute kwa nguvu? wala mama yangu hapa umevuka mpaka. tena mimi ndo mke wake wa ndoa alafu itokee wewe kutaka kuninyanganya?
ReplyDeleteyote tumechuma pamoja sasa ww unajitokeza na kutaka kutafuna usipopanda? kwa sababu umemuona kwenye Tv? thubutu
Idumu Blog ya jamii, IDUMU, Zidumu fikra za balozi wa zein, tigo, celtel, tegeta nk.. ZIDUMU, yaani kusoma comment za humu ni siku tosha, Nimepasuka mbavu mpaka nataka kukauka mapafu.. hehehe We Anon wa October 06, 2008 12:01 AM, . yaani sina la kukwambia.... UmeniachA Hoi, bin Taaban....
ReplyDeleteLOL.
Mida Wadau.
nyie wajingawajinga acheni kutuharibia matitle watu wa ulaya hakuna sehem leeds imechoka kama hiyo hapo ulipo achana na ubangubangu
ReplyDeletehahahahaaaa hahahhaha uwiiiii tih tih tih,,,heeeee ama kweli duniani kuna mambo,,,wadau kweli leo nimeamini uwa mwapunguza stress sana kwa kumchambua mtu-yan mbavu sina leo kiboko
ReplyDeleteMi nina ushauri,Nenda NYUMBANI kwa bibi MARWA,muulizie kuhusu Shangazi yenu mkubwa amehamiawapi,uende huko akuelekeze kwa binamu yako,ambae anapafahamu nyumbani kwa Mama ako mdogo, ambaye ni shemeji yake Baba ake JOHN, kwa vile John alikuwepo Bongo,basi wana habari zake.Pia nina Imani WATAJITAHIDI,kukumbuka. WINDO JEMA dada.
ReplyDeleteMAKUBWAAAAAAAAAAA!!!!! ALIYACHOKOZA HILO LIDAKE.
ReplyDeletenilikuambia dada yangu acha kupost ppicha ukabisha ooh waosha vinywa bado wamelala unaona sasa yaliyokukuta hivi bado wengine wameenda bebeba box wakirudi utatia akili
ReplyDeletekwanini mnakandia watu?.kwani vibaya mtu kumtafuta ndugu yake.eeh eti mnene, kitanda sijui kimefanyaje hayo yote yanausiana na nini na topic. hiyo yote kwasababu john mashaka mnamchukia. i don't care any one say anything about my comment.
ReplyDeleteDada kama ulikuwa una watest waosha vinywa basi leo unao? Mi nakupa pole ila plz tafuta GYM yakaribu upunguze hizo nyamanyama.
ReplyDeleteMICHU ulisema utawaziba wachafue hewa, mbona hizi comments zote ni za kuchafua hali ya hewa?
ReplyDeleteWabongo Mnakuja Kasi, Nyie wote pale.. Huyo atakuwa mashaka anatafuta PR tu-2!? Sijui mnategemea nini wabongo..
ReplyDeletetaratibu hapo..
= = =
Buffalo,
New York
Uchovu wa kubeba boxi mchana kutwa leo umenitoka. hii ndio kiboko ya mwaka,
ReplyDeleteHongera dada kwa entertainment yako.Mimi nina mke na watoto wawili sijui utanikubali
Ila kaza Buti, kuanza siyo kufika. Mwisho wa reli bado mbali
mr chibiriti alianzaga hivi hivi..
ReplyDelete