hii ni sasa hivi milango ya saa tano za bongo. kwa kweli inabidi wazee wa jiji wafanye maarifa kuhusu giza lililopo katika jiji hili maana aidha taa hamna mitaa kibao ama glopu wanazotumia mwanga wake njiwa. huna tofauti na kutembea kijijini uwapo dar usiku. huko uswahilini ndio usiseme....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Normally huwa siposti comment bali nasoma tuu lakini hii ya leo imenifanya nicheke sana and make me post a comment..."Mtaa wa Azikiwe Street"...
    Hahahaha Michuzi Umenikumbusha enzi zangu za Jeshi Pale Mgulani 1992...Unaambiwa nenda Kota guard ya mahabusu"...au Joh amekuwa addimited kalazwa"..Wow you really have made my day today!...

    ReplyDelete
  2. Hivi mbona tunapenda kufanya maisha magumu.kwanini serikali isijaribu kutumia taa za solar energy kwenye mabarabara na mitaani?

    ReplyDelete
  3. hali hii ajali hazitaisha maisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...