
Club ya Safari Washington Dc hatimae yafungwa taa mpya,zawadi maalumu ya Eid el fitri ukiingia ndani utabaki kushangaa njinsi mambo yalivyobadilika na kujisikia sasa upo kapitali.karibuni Washington Dc weekend hii katika sherehe maalumu za idd ambazo LUKE MUSIC FACTORY imekuandalia mambo mazito kuanzia ijumaa october 3 mpaka jumapili october 5,ratiba kamili ni kama ifuatavyo,
ijumaa october 3 kuanzia saa tatu usiku utakua ni usiku wa mwaafrika na kutakua na zawadi maalum kwa atakaye valia vazi bora la kiafrika,
jumamosi october 4 ni usiku wa kimataifa na kutakua na mashindano ya kucheza mduara na mshindi kunyakua dola 200/=cash na
jumapili october 5 tutafafunga pazia kwa usiku wa ragga.
Karibuni Safari Club mpya
4306 Georgia Av Nw,
Washington DC 20011,
madj wako ni the mix master dj luke,young blood dj kay
na ragga wizard dj vik.


MICHUZI HUYU JAMAA ALIYEKUTUMIA HIZI PIC NI MZUSHI. MBONA PICHA ZINAONESHA KUWA ZILIPIGWA TANGU MWEZI WA PILI? TENA ITAKUWAJE KUWA ZAWADI YA EID? AU KALENDA YAKE INASEMA HUU NI MWEZI WA PILI?
ReplyDeleteWATANZANIA WA DC MAISHA YAMEWASHINDA SASA. HAMENI STATE KAMA WENZENU WALIVYOFANYA MKIHARIBU MARA TEXAS MKIHARIBU NYUMBANI
ReplyDeleteAtakuwa Dj kibabu Luke ndiye ametuma hizo picha
ReplyDeleteUkweli This club suck...!!!! watu wale wale miziki ile ile. ma dj walele (wabovu).. YUK
ReplyDeletenaona alisahau ku-reset date after valentine
ReplyDelete