Kaka Michu..
EID Mubarak!

Pamoja na yote kwanza ninakupa pole kwa mshituko wa kupotelewa kwa jaaaaaaaamu fulaanaaz ya jamii ambayo Mungu mkubwa imipatikana.

Na hii imekuwa salama maana kama nilivyokuahidi kwamba nitaanza msako mkali huku Botswana na nilipokuwa katika mji unaitwa Francistown kuna mtu akanitonya kwamba aliona mtu kavaa fulanaaz kama ile ya blogu ya jamii katika kijiji cha karibu na Francistown kinaitwa SHASHE.

Sikufanya ajizji mwanamume nikajitoma haya ndiyo niliyoyakuta kwenye hilo hekalu la aliyesadkiwa kuwa mwivi wetu…
Mdau dRU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. taratibu dRU, nawajua hao watswana, hawana mzaha.

    doha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...