Shikamoo kaka.
Hongera kwa kazi nzuri.
Kaka nilikuaga naombako unitangazieko haka ka website kangu
katika blog yetu hii ya jamii.
Haka ka site kanamuwezesha mtu ku-access maduka mengi tofauti kununua au kuangalia bei tofauti za bidhaa.
Asante sana
Mdau
samahani tungependa bidhaa za kutoka nyumbani tafadhali haya mambo ya kuiga mmasai alitueleza tukiiga tutakuwa tunafuata nyuma wale watakuwa wametangulia.tujaribu kubuni ya kwetu.
ReplyDeleteBwana mdau unaonaje ukaweka na contacts zako.Hako ka website kako hakana contact details.Usifanye utani kwenye biashara(wanasema ndugu zangu wa JRO)
ReplyDeleteBwana mdau unaonaje ukaweka na contacts zako.Hako ka website kako hakana contact details.Usifanye utani kwenye biashara(wanasema ndugu zangu wa JRO)
ReplyDeleteMwenzangu jina la kiswahili bidhaa ziko sijui wapi vile....mhhhh
ReplyDeleteWatu watafikiri ni kama site ya kinigeria vile
Hamna about, contact us wala information zozote kuhusu wewe???? sasa sijui hii site ni inayocollet special sales kila week sehemu zote na kurahisishia watu au wewe ndio muuzaji watu waweze kukushika wakipata tatizo na transaction yoyote waliotumia kupitia hapa?
Yaani ni kama vile unajifunza kutengeneza store front kwenye darasa la Ecommerce au visual basic vile...umenikumbusha mbali sana
Unajua ulimwengu huu wa competition sio kuweka jina la kiswahili tu ndio litaengeza biashara at least onyesha watu ni kwanini katika maduka yote yaliopo online wanunue kutoka kwako au hata kama ni website ni kwanini waingie kwenye site yako, je unataka kuattrack watu wa umri au gender gani? Hilo ndio la kwanza kukumbuka kabla hujatengeneza kitu chochote online....yaani kuingia tu kwenye site yako nikaona kuwa ni kama unauza vitu vya wanawake tu au kwa wamama wenye watoto wadogo like a baby stuffs sites....je humo kuna bidhaa za hao watu tu? rangi uliyoweka sio bold enough au gender neutral kabisa.
Badilisha colors weka a little info about your site, contact info watu watakuamnini na from there ndio consumer behavior na consumer psychology itaapply
Good luck
michu milipoona hii nikakumbuka ile niliyokutumia ya kijana wa kitanzania anafanya mambo mazuri nikaomba umrushe kewani ili wabongo waweze kupata vitu vya uhakika na kusapoti uchumi wa bongo kwa kununua vya tanzania ukaitupa kapuni mrushe na huyu kijana atoke watu wamsaport kwa kufanya naye mawasiliano ya kibiashara kijana anajitahidi sana anafanya mambo makubwa sana kama nilivyokueleza kwenye email ambayo nilitegemea ungeweka walau hii web watu wakaizuru www.asilialeathercraft.com
ReplyDelete