Home
Unlabelled
taswirazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mi si mtaalamu wa masnepu, hivyo sina anything constructive to say... zaidi ya kusema... hii nimeikubali mkuu. Nimekulia pwani na hii imenikuna
ReplyDeletepreety nice...kendwa rocks kwa kilupiiiiii...bwana hapo mimi member sasa niko ughaibuni nikurid utaniona hapo..kwnye board members hunikosi...its not the beach hapo kendwa ni hilo fukwe mkuuu...na cocktails zinachangia...
ReplyDeletengojea nimuige Michuzi...
ReplyDeleteHapa ulikuwa unataka kupiga nini hasa? Ni hicho kivuli cha mnazi au mazingira mazima kwa ujumla?
kama ulikuwa unataka kutoa kivuli cha mnazi ungekata hizo nyumbas kwa nyuma. Maana zinaiibia picha hapo.
Balozi michuzi mbona Kimya hapa?Au unaipigia mahesabu makali ya kuikosoa?Ni 'ground oblique'nzuri sana.
ReplyDeleteNashukuru sana tu kwa moyo wako wa kutusaidia wapenda kupiga picha....ningeliomba basi utuwekee topic ya hata armature photography 101 basi kila siku
ReplyDeletemimi nina kamera mbili well tatu ukichanganya na camera ya simu ....lol.....nikon d40 ambayo nimepewa kwenye birthday na wala sijaitumia b'se sijui pa kuanzia and pia ninayo yangu ninayotumia often Kodak Easyshare Z740 lakini homesty hizo sijui shurter reduce, ISO sijawahi kuzirumia kwa vile sielewi what to do or when to use with those features.
Kabla ya kutoa comments zetu ningeliomba utwambie ulichukua na features au setting gani katika camera yako na pia watu wanaotuma ni bora wangesema halo kama watakumbuka walivyochukua picha zao ili uweze kuwasaidia kuwa ni nini wangetumia kuweza kupata picha nzuri zaidi.
But all in all thank you so much for everything
picha ni nzuri sana.... ninaombi la zihada... kama unaweza ukitoa picha tujulishe ni camera gani umetumia na lensi kiasi gani!
ReplyDeleteKivuli kikubwa mno ambapo haileti taswira nzuri ya unachotaka kuonyesha.
ReplyDelete