Meneja Mahusiano ya Jamii na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania, Maneno Mbegu (kushoto), akimkabidhi fulana Mkuu wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, James Kombe zenye thamani ya Shs Millioni 10 kama mchango wa kampuni hiyo katika wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani itakayofanyika Morogoro mwishoni mwa mwezi October.
Makabidhiano hayo yamefanyika Makao Mkuu ya Jeshi hilo, Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii wiki ya nnenda kwa usalama imepoteza maana.kipindi hiki polisi wa barabarani ndio chan mavuno ya pesa. Uongo??nyie subirini tu muone libeneke lake, mtang'amua wenyewe. Usumbufu kibao barabarani, yaani kero rororooooooo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...