magari mengi ya polisi yameandikwa anuani ya tovuti ya jeshi hilo siku hizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante Michuzi.Tovuta inafanya kazi siyo kama www.airtanzania.com asante jeshi la polisi.Kwenye gari haisomeki vizuri lakini ni wwww.policeforce.go.tz

    ReplyDelete
  2. we uliyepiga picha hii wangekuona! hawa jamaa wakiona kamera tu basi wanaanza ukakamavu

    ReplyDelete
  3. HII GARI HAINA PLATE NUMBER AU KWA KUWA NI GARI YA POLISI?

    ReplyDelete
  4. plate number wewe huioni hapo kulia PT something, tovuti yenyewe fake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...