Uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio Manchester na vitongoji vyake.

Watanzania wote wanaoishi Manchester (UK) na vitongoji vyake mnaombwa kuhudhuria kikao cha uchaguzi wa viongozi wa jumuia ya watanzania.

Kufika kwenu ndio ufanisi wa shughuli hii muhimu kwa umoja na mshikamano wetu.
Fanya hima kuhudhuria kikao hiki kitakacho ambatana na sherehe za uzinduzi zitakazoendelea mpaka usiku wa manane.

Mahali: Our lady's hall, Raby Street, Moss side, Manchester,M16 7JQ
Muda: kuanzia saa 12 Jioni (Tafadhali tuzingatie muda)
Uchaguzi: Utaanza saa 1:00 (moja) jioni mpaka saa tatu (3) usiku, na kwa wale watakaopenda kugombea uongozi wazingatie sana muda huo.
Sherehe za uzinduzi na disco la bure mpaka liamba.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliania na:
1. Dr Ngoma. M.C (Mwenyekiti wa muda): 07876712324
2. Herman Livingstone (Katibu wa Muda): 07899806500
3. Humprey Mhada: 07824397468
4. Daudi Mwakimwagile: 07534499405
5. Alphonce Machunda: 07917860621

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mithupu ombi chonde paste matokeo Tarime na picha za mnuso uliohudhuria leo tafadhali

    ReplyDelete
  2. Pamoja na jitihada nzuri za kuwakutanisha Watanzania ugenini, hili tangazo lina kasoro! halisemi Tarehe gani! zaidi ya kuzungumzia muda na mahala pa kukutania, na kueleza kuwa unywaji na maakuli ni mpaka usiku wa manane!!

    ReplyDelete
  3. Itakuwa Tarehe 18/10/08
    Humphrey Mhada(Manchester)

    ReplyDelete
  4. Hello
    Humphrey mambo niaje naomba email ya Happy

    ReplyDelete
  5. Duh huko MOSS SIDE inabidi uvae bullet proof... mi naangalia tu

    ReplyDelete
  6. Hii iimekaa sawa "JUMUIYA YA WATANZANIA" na sio CCM Reading

    ReplyDelete
  7. Happy kaomba yako kwanza ama mobile phone yako.

    ReplyDelete
  8. Mpe happy nadhihirwa@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. ujumbe umefika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...