CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA LONDON (UK)
MKUTANO MKUU WA TAWI - 16/11/2008 (Jumapili)
MKUTANO MKUU WA KUCHAGUA VIONGOZI KUMI NA TANO (15) WA KUINGIA KATIKA HALMASHAURI KUU YA TAWI LA CCM LONDON
Wanachama wa CCM London (UK), Mnakaribishwa kugombea nafasi za Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Tawi la CCM London (UK)
Anuani: 115 Hertford Road
Edmonton
London
N9 7EN
Kuanzia saa Nane mchana hadi saa Kumi na mbili jioni.
Fomu zinapatikana katika Tovuti ya Tawi; www.ccmlondonuk.org
Pamoja na ofisi za Mashina.
Ada ya Fomu ni £10
Wanachama wanatakiwa kutuma Fomu zao kwa;
Katibu wa Tawi
02 Appleshaw Court
2 School Road
Reading
RG31 5AL
Tafadhali pia wasilisha nakala kwa Mwenyekiti wa Shina pale unapoishi.
Mwisho wa kurudisha fomu hii ni tarehe 07/11/2008
Malipo ya Fomu: wagombea wanatakiwa kulipia moja kwa moja kwenye Akaunti ya Chama na kuandika jina lake kama kumbukumbu (reference).
Akaunti ya Chama ni;
Benki: Lloyds TSB (UK)
Branch: Market place, Reading
Jina la Akaunti: Chama Cha Mapinduzi
Akaunti Namba: 0587300
Sort Code: 30-96-96
Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi;
Susan Mzee kwenye barua pepe:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wote wajinga watupu mnashindwa hata na watu wa Tarime kumpambanua mambo eti mko nje. Ujinga mtupu

    ReplyDelete
  2. SI UJINGA JAMANI. KILA MTU ANA MBINU ZAKE ZA KUJIPATIA "VIJISENTI" NA KUJIWEKEA AKIBA YA BAADAE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...