Vijana wako hao wakikabidhiwa vyeti baada ya kupata mafunzo ya siku 10 interactive new media ambapo iliwapa ujuzi wa namna ya kutengeneza blog na kutumia huduma za internet kwa mawasiliano bora. Tafadhali wape wadau watia baraka zao.
Napenda nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya kupitia blog yako na kiukweli imetuhamasisha wengi hasa sisi vijana kuiangalia kwa ukaribu teknolojia hii. Kaka michuzi na sisi tumeamua kujiunga na ulimwengu wa utandawazi, tumefungua kablog ketu tungependa vijana watuunge mkono. Pia tungefurahi kama ungekuwa mshauri wetu kama eneo hili. http://www.yomnet.blogspot.com/.

-------------------------------------------------------------------
hongereni sana vijana kwa kuamua kuendeleza libeneke la globu. mimi nakubali kwa mikono miwili kuwa mshauri wenu.
-michuzi
a

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...