ally and rahman
out in the yard
michael
agatha na zainab
Michuzi and Wadauzzzz,
I had gone to this place to volunteer with them for a week after reading about them on the web.
This home for children in Arusha is run by an American lady. It cares for children from 2yrs of age and below. The aim of putting this information up is so that everyone who is willing can extend a helping hand in whatever way they can. I
would like to ask those who live in Arusha municipality to spare even a day if they can and make time to visit with the children and spend time with them.
If someone from another country can care for our children so much, the least we can do is support them in whatever way we can.
For more information on the home and children it cares for, please visit this website:
http://www.cradleoflove.com/
God bless you as you do
so.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Bwana Mithupu,Hawa watoto ni orphans au?Je nikitaka kuomba ku adopt hata ka baby kamoja ntaruhusiwa?
    Mie Mdau nimesikia uchungu sana!

    ReplyDelete
  2. Kama walengwa ni sisi Wabongo ingekuwa bora ungetuandikia kwa lugha yetu ya Kiswahili ili tunufaike sote. Mimi nafikiri nimeelewa nusu tu na labda ningeelewa yote ningeweza japo kushauri namna ya kusaidia. Vinginevyo, kama unawalenga wazungumzaji wa kimombo (kama huyo mama wa kimarekani) basi labda baadhi ya maneno yangesomeka vingine.

    ReplyDelete
  3. Inatia huzuni kwa watoto wadogo kama hao, ambao wazazi wao wamekufa au hawawezi kuwatunza kwa ugonjwa wa aids.

    Jambo ambalo linanishangaza nikwamba
    Kwanini serikali inakataa adoption ya nchi za nje?
    Kuna ubaya gani mtoto akipewa malezi ya utoto na kukua nchi za nje?

    Nchi yenyewe ndio hii tanzania, hata hao ambao hawana ugonjwa, kuwalea watoto tu ni shida kubwa kwa hali ya maisha ilivyokua ngumu.

    Michuzi hebu mpelekee JK hii hoja.
    Najua kwamba hata mtoto kakulia nje mpaka ukubwa wake lakini kuna siku atauliza anatoka wapi, kwahio siku moja watarudi nyumbani.

    ReplyDelete
  4. Loh cute babies jamani, so sad. Ina uzunisha sana watoto wasipokuwa na wazazi wa kuwalea. But am happy to see them nice and clean it seems like hiyo sehemu wanawajali sana.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa kwanza umepewa link umeshindwa kuitumia?

    Kuna video kule na maelezo jinsi utakavyofuata taratibu za ku adopt.

    Namuunga mkono huyo aliyesema kwanini serikali yetu inakataza watoto wakipewa malezi nchi za nje?

    Mbona Obama alikimbiwa na baba yake na akalelewa na baba wa kambo na mwisho wake bibi yake mzaa mama lakini sasa wakenya wanajisifia kama nini.
    Hizo sheria zakusema wanaotaka ku adopt wawe watu wa hapa hapa Tanzania tu hazina msingi

    ReplyDelete
  6. Hello kaka michuzi, nimesoma hii website nimepata uchungu sana je inawezekana kuomba kuchukua mmoja kweli nipo tayari hata kesho mie ninaishi UK lakini ni mbongo.Asante.

    ReplyDelete
  7. vitu kama hivi vikipata publicity mbona watu wakujitolea wapo wengi? badala ya kwenda nick's pub, boogaloo. unaspend some quality time na hawa malaika, if only i'd known sooner!

    ReplyDelete
  8. Mwenyezimungu anasema kama huwezi kulea mtoto usimuuwe wape wale wataoweza kulea na si zambi kama umemtowa mwanao alelewe na mwengine kuliko kumuuwa. Mwenyezimungu anapenda yule atayemlea mtoto wa mtu kwa uzuri na tabia akikuwa akataka kujuwa kwao mpe ruksa pia na wala msiwalaumu wale watu ila msiwatupe majalalani kama huwezi mpeleke mwanao kituo cha watoto watamtizama au shangazi au mjomba kaka au ndugu au rafiki atayeweza amtizame kama mtu ana moyo wa kumtizama mtoto ni vizuri ruksa tujitahidi kuwatizama. kuna wengine hawa zai na hawazalishi ni vizuri ukamchukuwa mtoto ukalea kwani ni uwezo wa mwenyezimungu kukupa uwezo kuzaa au kuzalisha, Inshaallah mungu atawafungulia maisha bora hawa watoto na wanao walea mie nimelelewa na wazee ambao hawakufanikiwa kupata mtoto kwa miaka 25 wamenitizama vizuri nimetafuta wazee wangu nimewapata nimewauliza nimejuwa hawakuwa na uwezo wa kunitizama hawakutaka niteseke nao ila sasa nawatizama wazee wangu wote wakunilea na wakunizaa tunaishi kwa raha alhamdulilah.

    ReplyDelete
  9. Hao wanaotaka kuchukua watoto mbona hawafuatilii vizuri ile link?

    kwenye link kuna video, iangalie na utasikiliza namna utakavyopata mtoto hapo.
    Ila kama mwenye kituo alivyosema nikwamba Serikali yetu ina sheria kubwa sana, haitaki watoto wakichukuliwa nje ya nchi.
    Sasa sijui ni kwa misingi gani.

    ReplyDelete
  10. Nina rudi Bongo next year. Lazima nitamchukua mmoja.

    USA

    ReplyDelete
  11. KUNA BAKIGRAUNDI CHEKI KWELI KWA WALE WANAOTEMBELEA?...MAANA KUNA ILE MIJITU INAYOITWA CHALDI PREDITAZ NA ILE MINGINE INAYOITWA SEKSI OFENDAZ....HAPO MNAONAJE WADAU?

    ReplyDelete
  12. Bado sijaelewa kama hao watoto ni yatima au jioni wanachukuliwa na wazazi wao? Aidha, kuna suala la ku-adopt watoto ambalo wadau wanalizungumza kuwa Serikali inakataza mtoto kulelewa Nje ya Nchi labda wanaojua sheria hiyo watusaidie maana mimi nawafahamu wazungu walio-adopt watoto wawili na wanaishi nao Nje ya zaidi ya miaka 13 sasa kiasi kwamba hao watoto hawajui lugha yetu kabisa maana walichukuliwa wakiwa wachanga!Labda kama hao wazungu walitumia Sheria nyingine au kama baadae Sheria ilibadilika; wanaofahamu watuthibitishie. Hii inanikumbusha pia ile 'issue' ya Madonna na mtoto wa Kimalawi!

    ReplyDelete
  13. Yaani inatia huruma sana lakini mambo haya wala serikali haiyatilii kipaumbele. Hata kutangaza habari za hawa watoto na wengi watapata watu wakuwaadopt kwa vile sasa wanaelewa wapi pa kwenda.

    Wewe unayesema hairuhusiwi kuchukua mtoto nje ya nchi. I don't think so..... Labda hairuhusiwi uwe unaishi nchi nyingine halafu unaona mtoto kwa picha halafu unakwenda kumchukua. Labda unatakiwa uwe umeishi TZ kwa muda fulani kabla hujaondoka naye hapo nchini. Katika website yao naona wengine wameadoptiwa na wako hawaii, USA sasa hivi.

    Lets pray for these little babies to find a lovely home .

    ReplyDelete
  14. sheria lazima ziwe ngumu tofauti na hivyo akina ally maumba pidofile watakuwa wanafuga wenyewe kama kuku.

    ReplyDelete
  15. SERIKALI INAKATAZA KIKWETE ALISEMA LIVE KWAMBA HARUHUSU WATOTO KUADOPTIWA. HAIRUHUSIWI KUADOPT MTOTO KAMA WEWE SI RAIA WA TANZANIA, LAKINI KWENU WATANZANIA LABDA MTAWEZA. NILIKUWA BONGO MWEZI WA NANE NA NIMESHINDWA KUMUADOPT MTOTO WA KAKANGU INAUMA SANA. KIKWTE KILA SIKU ZIARANI HAJUI WANAISHIJE MASKINI. MI NINAKAKITUO KADOGO KA KUSAIDIA WATOTO YATIMA. ROHO INANIUMA KWAMBA HUWEZI ADOPT MTOTO KUMPELEKA NCHI ZA NJE. HATE YOU KIKWETE

    ReplyDelete
  16. I have to give credit to that American lady (Thank you lady). Sio kuwafagilia wala nini but most of ordinary American people are very compassionate, generous, and charitable. Probably she's getting support from friends and family from US, as well. Mungu amzidishie.

    ReplyDelete
  17. Itabidi tuanzishe movement humu thru Michuzi blog...kushinikiza sheria za adoption zibadilishwe. They read these blogs you know. Kama unasoma hii bwana Kikwete..."Come on now!" do something.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...