Hi Kaka Michuzi na team yako,Kwanza asante sana kwa kazi nzuri ya kutupa habari za nyumbani,unatufaa sana. Pili naomba ipandishe hii habari ya Mtanzania mwenzetu iliyotolewa gazeti la Daily news hapa Newyork leo. Tunakupongeza sana Hasheem kwa kazi nzuri na kukuombea uingie NBA.
Ipate kupitia
http://absolutelyawesomethings.blogspot.com/
au moja kwa moja
http://www.nydailynews.com/sports/college/2008/11/09/2008-11-09_at_73_tanzanian_tower_hasheem_thabeet_st.html?page=0

Asante na kazi njema
Mdau Dada Sophie (Mrs)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Absolutely, the pride of Tanzania...Hasheem Thabeet. Good to see that he's getting bigger and stronger, too. My man is getting better and better on the low post, too. When he masters that paint 100% nobody can stop him. Way to go homie, Go Uconn!!

    ReplyDelete
  2. Hasheem ndugu yangu, ukipata muda uwe unaenda shule pia. Huwezi kujua na sisi wa tz twaweza kupata Obama wetu, teh-teh-teh

    ReplyDelete
  3. Sasa hiyo dada Mrs maanaake nini ? ili tukuogope ?

    ReplyDelete
  4. This guy is Good! I mean really good, He is a must see one! hope we should be seeing a first or 2nd pick in the NBA draft this summer.

    ReplyDelete
  5. sasa mrs kwenye mabano ili iweje.. umetaka tu watu wa commenti au umejishuku,coz no one was goin to harass you

    ReplyDelete
  6. endelea kukaza msuli ktk skuli mwana..NBA dont go nowhere.ukimaliza kitabu poa unaweza kujikita ktk NBA.hao Wamarekani wasikuzingue kwa kuacha shule kukimbilia NBA na matokeo yake hawajui hata money management.u will make it to NBA homie.skuli muhimu.

    ReplyDelete
  7. Very interesting. Keep it up.

    Na wewe unayesema awe anaenda shule what do you think UCONN is? He is Junior in that college.... so if you are smart it shouldn't be that hard for you to figure that out...

    ReplyDelete
  8. watu wengine sijui huwa hawafikirii ama sijui niaje? Huyo jamaa yupo maka wa tatu sasa hivi hapo chuo mnadhani yeye akiamka ni basketball,kula na kunya tu ama? Ndio maana ukaambiwa ni chuo sio timu hiyo..!! Kumaanisha kuwa anasoma sio anakimbizana tu uwanjani..!! Fikirieni vya kuandika...!! Keep it up Hash..!! One Day You'll make it bruh...!!

    ReplyDelete
  9. He's getting better and represents Tanzania so good..!! He's also in this month's ESPN magazine ....!! Amazing..!! As Tanzanians i think we should really be proud of him..


    http://insider.espn.go.com/proxy/proxy.dll/insider/magazine/index?&action=login&appRedirect=http%3a%2f%2finsider.espn.go.com%2fproxy%2fproxy.dll%2finsider%2fmagazine%2findex

    ReplyDelete
  10. Sawasawa mtu wetu, Wakilisha Wobongo kwa vishindo......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...