japhet kaseba akipangua mashambulizi kama hataki vile
japhet kaseba akishangilia baada ya kushinda mpambano wake
Kaka Michuzi,
pokea baadhi ya picha za Japhet Kaseba akiwa na wakurugenzi wa mchezo wa K1nchini Japan baada ya kufanikiwa kushinda nakupata nafasi ya kucheza mchezo huo mwakani.
mtembelee upate mengi zaidi kupitia http://japhetkaseba.com/
Mdau Japan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. omg i can see his butt cheeks!! someone get him some nice boxing gears..lol mambo gani haya tena kakunja kikaptula juu !!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka Kaseba! Lakini hichi kibukta mhh.... noma. Wadau siku nyingine mchangieni basi awe na vazi professional! Aibu!

    ReplyDelete
  3. aibu gani jamani kwenda kukunja bukta?? shame to Tanzania, huyo jamaa ni mshamba ile mbaya au ndio watoto wa tambaza walivyokuambia??, hawajaenda shule wale ni yale magofu ya urithi walioachiwa na babu yao na wala sio baba yao ambayo wanagombana na kila siku! achana nao kabisa washamba wale "NO EDUCATION NO LIFE".

    ReplyDelete
  4. bukta tafkiri wachezaji wa wanne star

    ReplyDelete
  5. You know what! "simple mind discuss people, object..." you are missing the main issue here which is WOW Tanzania King of kmick boxing beating the Japanese hero in Japan. Nahisi ninyi ni mlochnagia kuhusu kipensi tu na butt cheeks mlikuwa wa kwanza kusifia mambo ya watu wengine ili mladi ni foreigners.... Acheni jizo Kwa taarifa yenu Japhet is proffesional na hani khali ngumu kama ya wabeba Mabox... wa namna yenu.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana.
    Haya mashindano hawapimwi uzito?

    ReplyDelete
  7. hehe wabongo nao kwa nyimbo kikaptula kina kunjwa kwa malengo saanyengine kina vi bag toka tanga na sumbawanga kwa hio lazimwa vikunjwe lakini yote tisa jamaa mzuri sana kawakilisha taifa lazima apate big up makofi kidogo kwa kwa kwa kwa

    ReplyDelete
  8. huy ndio nani biigwa wa tz au? m,ichuzi tuletee maelezo vizuri ratiba za michuano tulete vijana wakali wa kick bocking bongo awa jaribu

    ReplyDelete
  9. Kaseba's short is commonly used by Mu Thai fighter around the world.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...