mchanga wa muungano wa tanganyika na zanzibar
mwalimu akiwa ziarani ughaibuni


Nukta77 inatuletea sehemu ya tatu na ya mwisho katika mfululizo wa hotuba ya Marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa katika hoteli ya Kilimanjaro (Kempinski) siku ya Jumanne, tarehe 14 Machi 1995.
Sehemu ya kwanza bofya hapa
Sehemu ya pili bofya hapa.
Sehemu ya tatu bofya hapa.
Mdau Subi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba picha ya hao watatu walioshika mchanga na chungu hicho pale walipoitwa bungeni mwaka huu. kama sijasahau sana kapicha hako kalitokea magazetini tu. Humu hakakutokea. Kapicha ka historia sana jinsi hao watu walivyo kuwa watu wazima sasa.

    ReplyDelete
  2. wapi naweza kupata kununua hotuba za mwalimu nyerere?
    tafadhali toa information zako humu nikutafute, asante sana.

    ReplyDelete
  3. Dar Subi, kweli nimefurahi sana sana kwa hotuba hii ya babu yetu.

    Mimi naweza kusema kuwa kwa hotuba hizi, HATA MTU WA KAWAIDA ANAWEZA KUIONGOZA WA TANZANIA.

    HUYU BABU ATAFUFUKA TU. HATA KAMA SISI HATUTAKUWEPO WATOTO WETU/WAJUU WETU WATAMUONA.

    ReplyDelete
  4. Look at this article pulled from wikipedia about the Biography of former president JK

    Does this article meet the standards of wikipedia?
    Articmike (talk) 01:49, 11 August 2008 (UTC)

    This article is terribly biased and needs to be rewritten. There's not a single word in this article about the process by which the article alleges the subject was "elected" president of the new Tanzania, then seemingly never again stood for election, after which he served more than 20 years. The article as written states that the subject admitted in 1976 that he had to junk his economic plan and that the country needed a new economic system, then "willingly" announced he would step down after an election -- to be held in 1985! Nine years after admitting defeat! There may be sources this author can cite to identify this politician as a benevolent dictator, or to argue that this dictator was not a bloody dictator, but whether these assertions could be possibly true is not even raised in this article. It is clear that the man was a dictator. Did the voters of 1964 know they were electing a president-for-life? If there are sources the author can cite that might establish that this dictator acted for the good of his country, or denied his people freedom and democracy for any good reason, the author chose not to cite such sources in the article. The author merely wrote a highly biased article. Articmike (talk) 01:47, 11 August 2008 (UTC)

    Retrieved
    Julius Nyerere Discussion

    ReplyDelete
  5. Jamani naombeni muangalie usahihi wa hii habari.
    Mwalimu aliachia ngazi(aling'atuka) kwenye chama mwaka 1990 au 1987??!!
    Nahisi kuna makosa maana ninavyokumbuka alikuwa mwenyekiti kwa miaka miwili tu akachomoa!!
    Na pia uhuru wa Zimbabwe ulikuwa mwaka 1980 ingawa kazi ilianza kabla ya hapo na sio tu aliwatengenezea njia bali aliwapa ardhi na mafunzo ya kijeshi huko mtwara.

    ReplyDelete
  6. kila nitakapoiona hii picha nasema maneno yale yale kila siku,suali kwanini mwalimu alichanganya huu udongo peke yake?

    ReplyDelete
  7. mwalimu alichanganya udongo peke yake kwa kuwa wanafunzi walikua mambumbumbu na hawakujua alichokua akifanya...yeye alijua hasa nini anakifanya na ndo mana aliwambia hao madogo na magoti wampigie ili mchanga auchanganye vizuri hasa!
    hapo do ulikua mwisho wa zanzibar kiufupi!

    ReplyDelete
  8. mbona Mzee Karume hayupo katika kuchanganya udogo? alikuwa wapi?
    MZENJ

    ReplyDelete
  9. Hao nyerere na karume wamechanganyika na udongo,popote walipo roho isitulie...forever rot in hell!!!

    ReplyDelete
  10. well idia ya kuuungana bara na visiwani mpaka sasa haieleweki kwani toka tumeungana ni visiwanit tu ndiyo wanaofaidikia na muungano feki. Kama tumeungana basi tunaonekana wajinga kwa nchi za ulaya maana visiwani wanaserikali yao na raisi wao na ukiangalia bajeti yao haitoshi kuiilisha zanzibar kwa hiyo tz bara ndiyo inafidia. Miaka ya zamani ilikuwa vigumu kwenda zanji mpaka watu walipopiga kelele ndiyo ikawa sawa. baba wa taifa kaleta mengi mazuri ila muungano alipigwa bao na karume hivyo bara turudishe bao kwa kuuvunja huo muungano feki na tuakte wire wa umememe labda mgao utaisha na shida za kipuuzi nyingine kama OIC crap. bara inabidi turudishe nchi yetu na hii hausiani na mambo ya dini bali bara ni bara na visiwani wakavue samaki wao

    ReplyDelete
  11. Nyerere anaonekana akichanganya udongo peke yake kwa kuwa ni mbinafsi na anajiona ni yeye tu mwenye akili, na mwenye "fikra sahihi" Tanzania nzima. La kusikitisha ni kuwa wengi katika wananchi walimwabudu...naye bichwa likazidi kuvimba akajiona ni mungu mdogo, hata kudiriki kujua angeishi kwa muda gani. Hakuruhusu mtu am-challenge, amelostisha wasomi wengi wa Tanzania ambao wangefaidisha taifa sana endapo wangepewa fursa ya kulitumikia taifa kwa haki, badala yake wamefaidisha Ulaya, Marekani na nchi za nje. See, baada ya kuona ameharibu haribu nchi kwa siasa zake zilizoshindwa, na mabavu eti anajidai kun'gatuka. Let the truth be known folks, he was a man....a human man, nothing special. "Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama"??!! R U KIDDING ME?!

    ReplyDelete
  12. NYERERE KAMA BADO ANGEKUWA YUKO HAI!!! HUU UOZO WA EPA, KAGODA, MAWAZIRI KUSAINI MIKATABA YA KIPUUZI ISINGEKUWAPO NA HATA MKAPA ASINGERUHUSU HAYA YOTE.

    INASIKITISHA KUWA MKAPA ULIYEMUAMINI KUMBE ALIKUWA NA NIDHAMU YA WOGA ULIPOKUWA BADO UKO HAI...ULIPOKUFA TU NDIO UOZO WOTE HUU ULIPOANZA...AMEWEZA KUTUONYESHA TRUE CLOURS KWA UBADHILIFU ULIOFANYWA NA GOVERNMENT YAKE HASA BAADA YA KIFO CHAKO.

    MKAPA ALIFANYA MENGI MAZURI NA ALIKUWA KIONGOZI SHUPAVU HATA DUNIA INAJUA, LAKINI UMASKINI WA ROHO YAKE NDIO ULIOLETA UOZO WOTE HUU NA UBADHILIFU....ALIFIKIRIA KUWA DUNIA YA WAKATI ANAZALIWA NDIO BADO ILIYOPO...LAKINI MAMBO YALISHABADILIKA...TRANSPARENCE NDIYO INATAWALA HAYA YOTE.

    POLE SANA MKAPA KWA KUMUABISHA NYERERE ALIYEKUFANYA CHAGUO LAKE SAFI NA KUIDHALILISHA TANZANIA KWA IMANI ILIYOKUPA KUIONGOZA NA KUWADHALILISHA MAWAZIRI WALIOTII MAMLAKA YAKO NA KUSABABISHA UBADHILIFU WALIOUFANYA AMBAO HAUFANANI NA DHAMANA WALIYOPEWA NA AIBU WANAYOIPATA LEO.

    NYERERE WETU MUNGU AKUREHEMU.

    ReplyDelete
  13. hivi kwa sababu nyerere hayupo tena ndo watanzania wanamuona kuwa ni muokovu wao ama kuna sababu nyengine???
    mi kwa nnavoona huu ufisadi ulikuwepo tu tangu enzi za nyerere hadi hii leo naandika comment hii...na kama unazani ufisadi tanzania ni wizi wa pesa za serikali tu basi jaribu kutanua mawazo yako zaidi...ufisadi upo kwenye elimu,ufisadi upo kwenye huduma za jamiii,ufisadi upo ndani ya chama...nk nk...
    so na haya mambo ya epa yalikuwepo tangu enzi hizo tatizo enzi za nyerere kulikua hakuna uhuru kabisa na ujasiri wa watu wa kuwafichua mafisadi!
    na bado hadi hivi sasa humo maserikalini mafisadi wamejaa tele...hao walikamatwa ndio bahati mbaya tu wameshitukiziwa....tanzania ufisadi umejaa!usimdhanie mtu sio fisadi kwa kuwa hajapelekwa mahakamani!kwani kupelekwa mahakamani kunategemea na ushahidi....kuna mafisadi tele ambao either bado wanaendelea kulindwa na serikali au bado hawajabainika!
    kwa hivyo stop kumuona kama nyerere ndio muokozi wa taifa la tanzania....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...