
Hello friends,
It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors.It is found at:http://taifaletu.blogspot.com/It is still a work in progress but please visit and leave a comment.
January
Nimesikia habari za huyu dogo na nimekutana naye kwenye gumzo la watu wengi.Very bright na ana heshima kwa kila mtu.wabongo watch this kid in 2015!karibu kwenye blogsphere mdau!
ReplyDeleteThis is definitely a blog we have all been waiting for.I was helplessly swept away by the narrative and strong comprehension delivered by the interactive issues discussed in this gentleman's blog. Asante sana January! This is exactly what we have been yearning for!
ReplyDeletewewe michuzi acha kubania comment za watu basi hata tusimsalimie januari ? U know what I mean ! tabia mbaya mimi sikuchafua hali ya hewa nilimpa hi tuu ndugu yangu siku nyiiingi tangu mji kasoro bahari nikamkumbushia mtu ambae angecheka sana kumkumbuka sasa wewe umebania na comment yangu haikuona jua kwa nini ? wewe una maswahiba wako , huu ni ufisadi wa mawazo unanitendea kaka yako sio fresh....... najua na hii hutaitoa lakini utaisoma mwenyewe so msg delivered to mlengwa you.
ReplyDeleteKaka Michuzi umeishiwa BREAKING NEWS nini huko ? mbona unatuweka na kiu mana tunataka jua ya Kagoda and Co. yanaendeleaje na jana siku nzima January kajaa juu na leo nafungua asubuhi bado yuko saawa kam matangazo tumesikia tutaenda kumsoma dogo huko bloguni kwake sasa tafadhali rudi kazini mana umetoka vekesheni juzi tuu hapa na wewe nae sasa mbona umelemaa hii si kawaida yako hata ukiwa vekesheni huwa unatutupia ndogo ndogo hujui wengine huku ugenini mpak tufungue blogu ya jamii ndio siku ianze hebu usituache kwenye mataa na kututia sresi na bladi presha, KULIKONI HUKO BONGO ?? ama na wewe mafisadi wamekupata ?? tupe Kagoda news pls na mengineyo !! Ila kijana January hongera siku nyingi umenenepa suti imekubali mzee I hope bado unatabia yako ya nzuri hujachange hata kama Dingi ndio hivyo matawi ya juu.
ReplyDeleteYeah!
ReplyDeleteThatz what am talking about! lets discuss issues not tissues if you know what I mean. Welkam January in da Hauz!!
Couple of years ago, nilikuwa nipo EU kikazi. Mmmoja wa colleague wangu akanipa copy ya The Economist ambayo ina article kuhusu Tanzania and uchumi wake.
ReplyDeleteAt that moment i didn't know January ni nani. So, i came back to state kisha nikapigia washikaji wa midwest kuwauliza who is this optimist kid in Tanzani. Then baadhi ya watu walio mjua wakaniambia he is a new smart kid on the block.
Few years went by, sijaweza kufanya follow up ya tulipofika compare na tulipotoka. Huu ni mjadala ambao am looking forward kuanzisha kwenye blog yako bwana January.
I hope kwa kupitia blog yako tunaweza kufanikiwa kujadili mambo ambayo status quo wanaogopa kujadili, through your blog tunaweza kuongelea new ideas kwa taifa letu, vile vile kuchallenge old ideas which doesn't work.
Mchumi wa Texas
Kaka mkubwa samahani sana kumbe ulikuwa huko Magu ndio man ukimya ! ahsante kwa kurudi ulingoni na samahani tena mkubwa man leo niliamka na sresi sana sijui nililala upande wa shoto !! duu ! sema siku nyingine basi useme mapema kama unapokwenda ni netwoki noti richabo sio unaacha naongea hovyo na kubadilisha mada humu kwenye comment za wasomina ma-iconomist kama nionavyo ,you see unanifanya nionekane ilitereti mwenzio.
ReplyDeleteMichuzi kwa nini unabana baadhi ya comments
ReplyDeleteHuyu kijana is insulting people's intelligence ...anamanuvre cheap popularity na wewe unaonekana uko upande wake
Hivi kwanini jamani nyinyi watu waserikalini na CCM mnapenda kukandamiza watanzania?
Au mnataka tuanze mambo ya Congo na Somalia hapa
Wewe sijui February embu acha kuweka picha yako na kuanza kujisifia wewe mwenyewe eti tuanze kukujua kwa lazima
Hatutaki Hatutaki Hatutaki .!!!!!!
Na mimi sitofungua hiyo blog yako NEVER NEVER NEVER !!!!!!
Tanzania ina zaidi ya watu millioni thelathini kila mtanzania ana haki ya kuwa kiongozi sio mara Yusuph Makamba mara mwanae
Tumechoka na mfumo wenu uliotuleta kwenye umaskini huu tulionao
Tunataka damu nyingine kabisa
Michuzi Michuzi Michuzi !!!! Kama kweli wewe Michuzi blog yako ni ya jamii basi naomba usibane hizi comments zangu (Hamna tusi hata moja humo)
Nimetoka comments nyingi sana kuhusu hii sura ya huyu mtoto wa Makamba lakini huzitoi unatoa zinazomsifia tu (na nahisi anaziandika yeye mwenyewe kujisifia) ....Nakuomba sana Michuzi naomba na hii usiibanie na nafikiri wewe ni muelewa
Huyu ni mtoto wa Makamba na anajaribu kutughiribu akili zetu
He simply wants peoples attention
He is stealing limelight at the expense of Michuzi blog
He just sound to have nothing serious
We acha comment comments za kujisifia mwenyewe
ReplyDeletejamani hez handsome ni mtoto wa makamba au?
ReplyDeleteMsijipendekeze, ana u-smart gani? Kafanya nini ambacho mtu unaweza kusema ni cha u-smart? Tunaofahamu hapo alipo kafikaje, kasomaje huko Marekani, hatusemi kitu. Wabongo acheni kasumba za kupapatikia majina makubwa ya kisiasa.
ReplyDeleteI think that some comments are just meant to discourage and intimidate people. No body wants to hear such baseless negativity. The only thing the guy did is introduce his blog ! Trying to bring in his parent name is just crossing the line and I don't think such comments should be allowed.
ReplyDeleteJamani wabongo someni blog yenyewe muone. Mimi nimesoma mle kuna mambo yanakufanya ufikiri naona wabongo wengi tunaogopa kutumia vichwa tunabaki kujadili mtu na wazazi wake,ndio maana hatuendelei. Bravo Jan, bravo Obama.
ReplyDeleteJamaa huyo mbona sura ya ukatili!!!
ReplyDeleteNukuu,
ReplyDelete"It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one!"
January karibu sana.
Hicho kiingilio hakionyeshi u-serious wowote. Unakuwa kama vile unaanzisha blogu kama ka-fashion fulani vile.
Pili jiandae kuchota hekima kutoka watu wa aina mbalimbali, waliokwenda shule na wale hawajaenda shule, Wajanja, werevu, wajinga , wapumba n.k
Huwezi ku-target best brains as contributors wewe target best comments from all sorts of contributors!
Anonymous from 4:54pm, get over your jealousy and do something. Just because Makamba is someone in the CCM party and in the Tanzanian community, does not mean that January should hide under his old man's shell and never progress to his own destiny!
ReplyDeleteMichuzi, for the sake of curiosity fueled in many of us please provide us details about this guy's credibility. I would personally like to know his qualifications and most importantly his education. The info could be brief keeping in mind his confidentiality and for the sake of his security from haters such as the above dude.
Thanks,
Nana.
mbona mtu mwenyewe anabana comments???nimeshatuma comment yangu inayohusu mambo ya 'politics za bongo flava' kaibana!!!shittt!!SIINGII TENA BLOG YAKE....manake inaonekana ye anataka tumsifiesifie tu always,hiyo comment nimemponda ki-dizain!!(nawe misupu us'n'zibe n'domo...na wala usibane..msg should be delivered thruu' ur blog)
ReplyDeleteKuna jamaa anajiita hapo juu Mchumi wa Texas asikaribishwe kabisa katika blogu za wasomi. Maana ana pumba nyingi sana.
ReplyDeleteJanuary mwanzo mgumu katika blogu siku hizi. Tembelea blogu ya Makulilo na Peter nalitolela na uangalie zimezimika vipi taa siku hizi.
Zinachaoadika ni Ku-copy na ku-paste na hakuna cha maana cha kudiscuss pale. Tunataka article zetu na sio ku-discuss mamabo ya watu wengine.
january kama wewe umeanzisha blogu, basi fanya tathimini ya mamabo muhimu, fuatilia then andika na sio wewe pia kuwa kama wengineo wana wa ku-copy na ku-paste issue zilizoandikwa na magazeti mengine. Huo sio usomi ni uzandiki wa kishenzi. Anzisha mada , ipe support na tuachie wasomi tujimwage.
Wewe anon wa 4:54 na 06.06 what can you guys do? Bring up your cursory ideas then we'll take a note... oh before i go do you guys know January? take your time and read his blog and make your judgment ok, fucking pillock pumbafu
ReplyDeleteMichuzi huoni kwamba huyu kijana anakutukana kwa kusema eti blog yake ni "serious one" ???????
ReplyDeleteIna maana blog ya Michuzi sio "serious one"????
Kwa maneno hayo namuona huyu kijana anajisikia sana na ana hulka ya "Mimi ndio bora"
Kwa kifupi bado hajani"convince" kuangalia blog yake