wadau bado niko ziarai huku. kwa kweli magu bomba sana. mwache dk. remmy akuimbe sana


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mbona umechoka sana balozi wa nanihiiii??kweli magu pazuri??????

    ReplyDelete
  2. Mshirika,
    Mbona umeficha kwa mgongo jina la guest uliyofikia au ni kwa sababu ya maadili? maana ulijitetea mwanzo kuwa si vakesheni..poa

    ReplyDelete
  3. Mshirika,
    Mbona umeficha kwa mgongo jina la guest uliyofikia au ni kwa sababu ya maadili? maana ulijitetea mwanzo kuwa si vakesheni..poa

    ReplyDelete
  4. Huko wacha muheshimiwa balozi akusifie, kwani kuna mitoto yakisukuma yenye mahips na maguu, na sasa hivi wanavyochanganya damu na watusi ndio balaa huko usukumani linazidi kuongezeka. haya muheshimiwa balozi kula raha, maziwa na samaki waliomfanya baba yake obama awe na akili.

    ReplyDelete
  5. MISUPU YAANI SIKU MOJA TU UMECHOKA HIVYO? HEBU KUNYWA MAZIWA KWA WINGI NI KAMA BURE NGOZI IREKEBISHIKE, SASA NDIO WASHENGA,KIKAZI AU

    ReplyDelete
  6. Fulanazzzzz.......Mkuu huko ndo kwenyewe.

    ReplyDelete
  7. Balimi oyee, kachupa ka nyumpani.... bagishage ..

    ReplyDelete
  8. Vipi Chuuzi,samaki unapendelea Kichwa au Mkia?Kiwiliwili wengine hawapendi inakuwaje?Pima uzito wako kabisa.Hadi utakapo ondoka Mzee kilo zishaongezeka tena.Labda Ligwaride likizidi haaaaapo itakuwa taaabu kabisa,Mwanza hiyo Mzee!Utaulizwa unataka Kichwa au Mkia!Sijui utajibuje watu wa pwani nyie!

    ReplyDelete
  9. Vipi Chuuzi,samaki unapendelea Kichwa au Mkia?Kiwiliwili wengine hawapendi inakuwaje?Pima uzito wako kabisa.Hadi utakapo ondoka Mzee kilo zishaongezeka tena.Labda Ligwaride likizidi haaaaapo itakuwa taaabu kabisa,Mwanza hiyo Mzee!Utaulizwa unataka Kichwa au Mkia!Sijui utajibuje watu wa pwani nyie!

    ReplyDelete
  10. Nafikiri mwatex na Mutex zimefungwa. Pamba haina mteja. jua kali mpaka nyasi zimekimbia. sasa Magu pamechoka! Mwambieni mbunge wenu hawatafutie at least pembejeo za kisasa za kilimo (kilimo cha umwagiliaji). na hapo Remmy atapaimba sana. Usipambe sehemu chovu. kuwa mkweli na hapo blog itapambika.

    ReplyDelete
  11. hivi kwanini balozi sijawahi kukuona umepiga picha ukiwa msikitini au ukienda, hata iddi? kila siku ofisi za kilaji tu?! angalia ndugu umri unakwenda, usije kusema "YAALAITANI KUNTU TURABA"

    ReplyDelete
  12. eeh bwana mkuu wa wilaya ya nyumbani naoa Uaraza umeanza wakati bado u young.Nadhani hayo makuku ya madawa mnayoyala yanaanza kutowa effects zake.

    ReplyDelete
  13. we acha mchezo mwanza booomba au sio kaka michuzi eeeeeeeehhh!

    ReplyDelete
  14. hahahaaaaaa hehehehehe
    yan michu umeshidnikana ktk kila engo,,kijana hukui???
    "uziri wake ni nini" fafanua alaaa

    ReplyDelete
  15. MGANGA MPYA KAPATIKANA MWANZA SIO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...