kaka michuzi.
kwa ufupi kaseba ameshinda raundi ya tatu kwa point gemu ilikuwa ngumu picha na maelezo zaidi muda mchache ujao tunashukuru sana uzalendo ulioonyeshwa na wabongo wakiongozwa na kiongozi bw. dady

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Na hii ndio website yake: http://www.japhetkaseba.com

    ReplyDelete
  2. Jamani Hongeraaaa Saaaaana Miriam, kweli umetupeperushia bendera haswa, being the 1st run up sio mchezo. Nakutakia mafanikio mema, lakini sasa wewe si mtoto tena so unatakiwa kuyachukua majukumu watakayokupa kwa mikono miwili na sio kivivu vivu kama M-net face of africa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...