Home
Unlabelled
kazi na dawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Eee bro Mithupu!Du yule mama kafurahi toka moyoni kabisa, naona ndugu Spika katoa mongozo.Na Jamaa katika picha ya chini wanayarudi katika mtindo wa kuwakilisha wananchi-safi sana!!
ReplyDeletetanueni tu kodi zetu kila siku mikutanooo weee lakini hatuoni maisha ya wana SADC yakibadilika...@#$%*&^%$ zenu na matumbo yenu makubwa!!
ReplyDeleteMmh jamani waheshimiwa, huo mduara mbona hamjautendea haki? Kweli mlikuwa mnatikisika? Utafikiri mko gwarideni!
ReplyDeleteAfadhali kwaito linaonekana lilipokelewa vyema na wahusika!
saaaaaaaaaaafi sana kazi na dawa
ReplyDeleteaisee watu kwa raha zao
wezenu tunachapika na maisha nyie mnakula vijisenti vyetu tu haya bana kutesa kwa zamu mkishatoka madarakani tutasalimiana kulee keko powa ni hayo tu kwaleo
ReplyDelete