mwenyeji wa mkutano spika wetu mh. samwel sitta na mgeni wakifurahia libeneke
mduara kam kawa
miondoko ya sauzi ilikuwepo
kisanora...
Jana usiku, baada ya shughuli nzito za mkutano, kulifanyika party la nguvu pale ngurdoto mauntain lodge ambapo wajumbe wa mkutano wa 24 wa SADC Parliamentary Forum ambao Bunge la Tanzania limepewa heshima ya kuuandaa kwa mwaka huu





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Eee bro Mithupu!Du yule mama kafurahi toka moyoni kabisa, naona ndugu Spika katoa mongozo.Na Jamaa katika picha ya chini wanayarudi katika mtindo wa kuwakilisha wananchi-safi sana!!

    ReplyDelete
  2. tanueni tu kodi zetu kila siku mikutanooo weee lakini hatuoni maisha ya wana SADC yakibadilika...@#$%*&^%$ zenu na matumbo yenu makubwa!!

    ReplyDelete
  3. Mmh jamani waheshimiwa, huo mduara mbona hamjautendea haki? Kweli mlikuwa mnatikisika? Utafikiri mko gwarideni!

    Afadhali kwaito linaonekana lilipokelewa vyema na wahusika!

    ReplyDelete
  4. saaaaaaaaaaafi sana kazi na dawa
    aisee watu kwa raha zao

    ReplyDelete
  5. wezenu tunachapika na maisha nyie mnakula vijisenti vyetu tu haya bana kutesa kwa zamu mkishatoka madarakani tutasalimiana kulee keko powa ni hayo tu kwaleo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...