Kwenu wadau wa michezo,
Samahani kwa kushindwa kwetu kuwatumia picha kwa wakati. Leo tunawatumia picha za fainali yetu na Gonga f.c ambapo tuliibuka mabingwa kwa kuwafunga Gonga f.c kwa goli 4-3 kwa njia ya matuta katika uwanja wa Villa Sguad.
picha za fainali yetu na Sifa united ambapo tuliibuka mabingwa kwa kuwafunga Sifa utd kwa goli 1-0 na picha za mchezo muhimu wa kirafiki kati yetu na Tanzania Soccer Academy katika uwanja wa karume ambapo tulifungwa goli 4-1.
Mdau Chris
kny KCSC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hiyo staili ya kupiga picha inatisha, yaani wa mbele wanainama wa nyuma wanachuchuma usawa wa .... jamani ! haya .....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...